SHAMBA LINAUZWA [MZEE MGONJWA MSAADA HUNAHITAJIKA]

SHAMBA LINAUZWA [MZEE MGONJWA MSAADA HUNAHITAJIKA]

Joined
Nov 15, 2016
Posts
24
Reaction score
8
Jamani nauza shamba ekari 13 bei ni mil 26 maongezi yapo tafadhali nina shida naomba msaada shamba lina hati miliki na lipo mkuranga km 10 kutoka barabarani kwa mawasiliano wasiliana na CAPgeminixies consulting LLC Iliyopo Ubungo External 0744 008208 na whatsApp namba inapatikana ]
P1170342%20(1).JPG
 
Attachments

  • images%20(7).jpeg
    images%20(7).jpeg
    15.7 KB · Views: 56
Jamani nauza shamba ekari 13 bei ni mil 26 maongezi yapo tafadhali nina shida naomba msaada shamba lina hati miliki na lipo mkuranga km 10 kutoka barabarani kwa mawasiliano wasiliana na CAPgeminixies consulting LLC Iliyopo Ubungo External 0744 008208 na whatsApp namba inapatikana ]View attachment 819429
Dalali mnakaribishwa na % itapatikana hakuna tatizo lolote. Kwa taarifa zaidi piga simu 0744 008208
 
Unge jazia nyama kidogo huduma zilizo Kalibu kama Maji Umeme na miundo msingi ya kibinafsi iliyopo shambani nk. Ni mtizamo wangu pole kwa kuuguliwa
 
Wapi eneo lilipo!
Vianzi, Shungubweni au mipeko?
 
All the best Mkuu, madalali usiwakaribishe watauza Milioni 36 wao wapate 10, wako kama ndege hawalimi ila wanapenda kuvuna.
 
wivu tu kwani hata wakiuza 100 wewe itakuumiza nini kama katangaza 26 kuna ubaya gani?
Huo ujanja ujanja ndo hautakiwi, yani kitu cha milioni 26 wewe ukamuuzie mwenzako Mil. 100 ni haki kweli?
 
Jamani nauza shamba ekari 13 bei ni mil 26 maongezi yapo tafadhali nina shida naomba msaada shamba lina hati miliki na lipo mkuranga km 10 kutoka barabarani kwa mawasiliano wasiliana na CAPgeminixies consulting LLC Iliyopo Ubungo External 0744 008208 na whatsApp namba inapatikana ]View attachment 819429
Mkuu mbona unatuonesha nanasi za JK!? Usije kuwa unataka kututapeli!!
 
Kuuza mali kwa ajili ya kumtibu mzee nalo ni tatizo. Kwa hiyo mnataka huyo mzee aishi milele? If his time is up, mwitieni kiongozi wa kiroho amwandae kuelekea kwenye makao ya milele.
 
Back
Top Bottom