Nashukuru kwa ushauri. NAAMINI MAWASILIANO NILIYOWEKA YANATOSHA. BEI NI KWA MWENYE NIA. ASANTE KWA USHAURI.Kuondoa usumbufu weka bei hapa
Nashukuru kwa ushauri. NAAMINI MAWASILIANO NILIYOWEKA YANATOSHA. BEI NI KWA MWENYE NIA. ASANTE KWA USHAURI.
Anayetaka shamba kwa ajili ya kilimo/ufugaji morogoro tiwasiliabe.
Shamb@ ni zuri kwa kilimo cha ufuta,mahindi na nk. There is a source of water about 2.5 km fron a shamba. Its size is 11 Hectares.For more clarifications call me at 0784775353/0767665353 during day time
tapeli uzuri nakufahamu. kamata wajinga wasio kujua
thank you.taja eneo lilipo hilo shamba
lipo mpakani mwa mvomero na morogoro. Kwa makunganya. Specific area majichumvi. 7km away from main road which goes to dodoma ( idodomya). 18 km from morogoro main town center.lipo eneo/wilaya gani?
Kwangu siyo huko upande wa lunchi. MlKwangu ni majichumvi. Ukiwa unaenda Dodoma ni upande wa kushoto. Km 7 kutoka barabara kuu iendayo dodoma. Eneo unalolizungumzia wewe ni la upande wa kulia. Mm napenda nifanye biasbara ya haki na salamakuweni makini huko kwa makunganya kuna sehemu ni hifadhi ya na juzi tu watu waliojenga huko wamebomolewa nyumba zao na manispaa actually eneo hilo lina figisufigisu xo ni vema kuwa makini sana..
Bei tuwasiliabeweka bei
Bei tuwasiliabeweka bei
Shamba au pori?
Shamba au pori?
nyie kama mnataka viwanja nendeni bunju au kigamboniItakua msitu