Shamba linauzwa Morogoro haraka

Shamba linauzwa Morogoro haraka

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,810
Reaction score
2,733
Habari wakuu.
Nina ekari tatu Morogoro ninaziuza, shilingi laki tatu kwa ekari moja eneo lililopo ni kijiji cha maji chumvi,kilichopo karibu na Mkundi(yaani Msamvu halafu Kihonda halafu Mkundi), km 20 toka msamvu ,barabara ya Dodoma na kilometa nane toka barabara kuu iendayo Dodoma.

Kuna kisima cha maji cha kijiji kilichochimbwa na kiwanda cha kusindika nyama kilichopo kijijini hapa. Eneo hili maarufu kwa ulimaji mahindi na alizeti:
Offer: Nitakusaidia mbegu bora toka SUA kwa zao lolote utalolima na pia nitakuunganisha na masoko.

Mussa
0713-039875
 
Kutoka msamvu hadi huko kwa gari ni masaa mangapi?vip daladala zinafika?
 
Kutoka Msamvu mpaka uko jumla ni kilometers 28.
 
Kutoka msamvu hadi huko kwa gari ni masaa mangapi?vip daladala zinafika?
dala dala hadi mkundi kituo kinaitwa stoper. Kisha ni boda boda au private car kwa kilometa 8
 
Back
Top Bottom