Shamba linauzwa kiromo bagamoyo

Shamba linauzwa kiromo bagamoyo

Bintiwangara

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
551
Reaction score
287
View attachment 734337 View attachment 734338 View attachment 734341 *SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA*
Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3 mpaka kwenye eneo husika.Eneo linafaa pia kwa kuishi..mifugo na kilimo.kipo kwenye makazi yawatu.bei Mil 30 ..mazungumzo yapo cheki wasapp.no 0753189283
 
View attachment 734337 View attachment 734338 View attachment 734339 View attachment 734341 *SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA*
Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3 mpaka kwenye eneo husika.Eneo linafaa pia kwa kuishi..mifugo na kilimo.kipo kwenye makazi yawatu.bei Mil 30 ..mazungumzo yapo cheki wasapp.no 0753189283
Liko kiromo au kilomo?
 
Shamba lipo Kilomo au kiromo nafikiri yote sawa, wenzetu wa kule kaskaz wanashindwa kutofautisha kati ya R na L. lakini tumeshamwelewa . kikubwa hapo ni Bei yake.
 
Back
Top Bottom