Shamba linauzwa kiromo bagamoyo

Shamba linauzwa kiromo bagamoyo

Bintiwangara

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
551
Reaction score
287
IMG-20180321-WA0011.jpg
IMG-20180321-WA0010.jpg
IMG-20180321-WA0009.jpg
IMG-20180321-WA0007.jpg
*SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA*
Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3 mpaka kwenye eneo husika.Eneo linafaa pia kwa kuishi..mifugo na kilimo.kipo kwenye makazi yawatu.bei Mil 30 ..mazungumzo yapo cheki wasapp.no 0753189283
 
Milioni 30 ni bei ya Nyumba sio Kiwanja ,,, kwa bei hiyo utasubiri sana
 
Aisee kwa hio bei zinatua bombardier ngapi kwenye hicho kiwanja? Ni cha airport nini mzee baba!?
 
Back
Top Bottom