Shamba la zabibu Dodoma

Shamba la zabibu Dodoma

mwagito25

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
633
Reaction score
352
Mwenye uhitaji wa shamba la zabibu lipo ndani ya mradi wa umwagigiliaji (irrigation scheme) lenye ukubwa wa ekari moja na nusu , lina zabibu tayari ,ambapo unahudumia kisha unavuna, bei ni 19 Milioni, hakuna gharama zingne . Ambaye yupo tayari karibuni
 
........
IMG_20190611_095408_020.jpeg
 
Mwenye uhitaji wa shamba la zabibu lipo ndani ya mradi wa umwagigiliaji (irrigation scheme) lenye ukubwa wa ekari moja na nusu , lina zabibu tayari ,ambapo unahudumia kisha unavuna, bei ni 19 Milioni, hakuna gharama zingne . Ambaye yupo tayari karibuni
Lipo wapi?
 
Ipo NAMNA SI BURE!!!
Hata mm nimejiuliza yaani amelihudumia hadi kufikia kuzaa na kuiva halaf ashindwe kuvuna tu na kuuza.
Mimi hisia zangu huenda Hilo shamba likawa la partnership,Sasa pengine wamegombana halaf wanataka kuuza kwa kuzungukana.
 
Wana mkopo wa benki plus riba no almost 18M
 
Hata mm nimejiuliza yaani amelihudumia hadi kufikia kuzaa na kuiva halaf ashindwe kuvuna tu na kuuza.
Mimi hisia zangu huenda Hilo shamba likawa la partnership,Sasa pengine wamegombana halaf wanataka kuuza kwa kuzungukana.
Yawezekana, au mchepu kakera mtu aliye muandalia Sasa jamaa aliye kerwa kwa hasira anauza au LINA MKOPO BENKI HILO NA MNADA UMEKARIBIA
 
Back
Top Bottom