mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,872
- 13,234
Dah sawaHata Kama Ina Bei nzuri SI kwa Bei hiyo ya m 19 Mkuu Tena kwa ka ekari kamoja tu!!
Dah sawaHata Kama Ina Bei nzuri SI kwa Bei hiyo ya m 19 Mkuu Tena kwa ka ekari kamoja tu!!
Hivi zabibu zinalipa sana?Kwenye heka 1 unaweza kupata pesa ngapi ukivuna?
[/QUOTE]Ekari tano uchimbe mitaro, utafute maji na mbolea ,miti na uhudumie mpka kuvuna isifike m5??? Labda unazungumzia kilimo cha mchicha na sio zabibu maana hadi mwanao ambaye hujamzaa angekuwa na shambaHata ukiamuabkununua ekari 5 ambalo Ni pori usafishe uchinbe mitaro na upande Michelle Kisha uikuze Hadi itakapo anza kuzaa haitafika M 5 MUOTE="mbu wa dengue, post: 31831804, member: 229471"]
Dah sawa
Tani 8 = 8000kgInategemea na ulivolihudumia na bei ya msimu mfano ukitoa tani 8 na bei ya kilo ikawa ni 1500/= piga hesabu utapata sh ngap
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mavuno ya msimu mmoja kumbuka shmba hukodi unanunua kabisa na maji sio tatizo hili shamba lipo ndani ya mradi zaidi ya ekari mia tatu (closure system) kama unavuna msimu mmoja kiasi hcho kwa maana hyo mwaka mmoja usharudisha gharama zako, na usisahau kuwa ni zao la kudumu ukipanda mpka unakufa labda uwe kijukuu cha mtumeTani 8 = 8000kg
1kg = 1500
1500 × 1800 = 12,000,000
Sasa wewe mbona wauza mil 19?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida mbona mtu anaweza jenga nyumba ile anaimaliza tu akaiuza kutokana na sababu mbalimbali
Mkuu hesabu za jamaa ni zile za kilimo cha matikiti, mbona wagogo wote wangekuwa matajiriTani 8 = 8000kg
1kg = 1500
1500 × 1800 = 12,000,000
Sasa wewe mbona wauza mil 19?
Sent using Jamii Forums mobile app