Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,888
Sheria inayoitwa Public health act ya mwaka 2009 imeeleza vizuri grave yard iweje.
Kuwe na uzio
Kuwe na attendant
Kuwe na ofisi
Kuwe na maji na umeme
Kuwe pana fikika
Kuwe na miundombinu mfano sehemu ya wailsam na wakristu
Pawe panaweza kutumika kwa miaka zaidi ya 30.
Ukienda Moshi pala nyuma ya shule ya secondary Northern kuna makaburi yale ya wazungu waliopigana kwenye vita ya pili yanamwagiliziwa na unaweza ukalala humo ndani