Shamba la Sumaye kufutiwa hati


Wananchi mnafyatua mkitegemea wenzenu wawasaidie kulea
 
watu kama yeye wapo wengi tu, wwnahodhi mashamba halafu hawayafanyii chochote!
 
Mr. Zero. The most corrupt and useless PM ever. Halafu naye anakimbilia CHADEMA akidhani kuwa atapata uraisi au kurudia uwaziri mkuu wake. Utafikiri CHADEMA ni chaka la kuficha na hatimaye kutakatisha mafisadi waliokubuhu. Sad!
Naomba kuuliza hivi hii sheria ya makosa mitandaoni kwa kutumia lugha ya kuuthi MTU ,kukera kudhalilisha na uchochezi ni kwa viongozi waliopo madarakani au kwa watanzania wote
 
Naomba kuuliza hivi hii sheria ya makosa mitandaoni kwa kutumia lugha ya kuuthi,kukera kudhalilisha na uchochezi ni kwa viongozi waliopo madarakani au kwa watanzania wote
Sio kwa viongozi waliopo madarakani bali ni kwa wana ccm tu wapimzani ndio walitungiwa hii sheria ila wanaccm wanauwezo wa kuvunja hii sheria na kutohoji,kubugudhiwa na wala kushitakiwa sehemu yeyote ile. Hii ndio tanzania ya utawala wa sheria.
 
kwani ukiwa upinzani ndio unakuwa juu ya sheria ?

Do not be blind and love Stupid, unataka kusema ccm hakuna aluye na ardhi imetelekezwa. Kuwa mkweli, kama siyo wewe wajukuu zako watalipa uonevu huo maana wanafsidi uonevu wa serikali ya leo
 
Asilielie...hata mwaka jana akiwa bado CCM mkewe Ester alifutiwa umiliki wa maelfu ya ekari mkoa wa pwani ambayo hakuwahi kuyaendeleza...huyu mtu ni mlafi wa ardhi pasipo kuiendeleza,hana tofauti nayule muhindi/muingereza aliyefutiwa jana.
mhindi yupi huyo?
 
Hizi kauli na matendo ya kutaifisha ardhi za watu kwa visa vya kisiasa ndio zimemponza Mugabe akaitumbukiza nchi yake kwenye umaskini. Unaanzaje kuita wawekezaji nchini wakati huo huo unataifisha mali za wawekezaji wengine
 
Hizi kauli na matendo ya kutaifisha ardhi za watu kwa visa vya kisiasa ndio zimemponza Mugabe akaitumbukiza nchi yake kwenye umaskini. Unaanzaje kuita wawekezaji nchini wakati huo huo unataifisha mali za wawekezaji wengine
Sumaye alitwaa ardhi kwa wakulima......huyu sumaye hata mchicha halimi ni mapori kakiuka mkataba wa umiliki wa ardhi ya uwekezaji,na yeye anajua. Usikubali kufubazwa akili.
 
, post: 18240451, member: 265664"]Mr. Zero. The most corrupt and useless PM ever. Halafu naye anakimbilia CHADEMA akidhani kuwa atapata uraisi au kurudia uwaziri mkuu wake. Utafikiri CHADEMA ni chaka la kuficha na hatimaye kutakatisha mafisadi waliokubuhu. Sad![/QUOTE]


Yani miaka10 yake useless then who was the useful pm mkuu?


Yaani miaka10 yote usel
 
Hii Sera by2020 lazma tutakuwa category moja na Zimbabwe
 
Kwa utendaji mzuri huu hata angelipwa billioni 100 kwa mwaka sawa tu
Utendaji upi?[emoji15] Matatizo yetu Watanzania hatujui yupi kiongozi na yupi mkurupukaji. Media ndio inamjenga huyu jamaa lakini kiuongozi hana lolote kwa uono wangu.

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Kitu nilicho na uhakika nacho ni kuwa huyu "Mungu" hatatoka madarakani. For sure Katiba itabadilishwa. Uweke uzi huu kama kumbukumbu

Haka ni "ka - mungu" kanakokufa kama siyo leo basi kesho!

Kwa maana nyingine anaweza kufanya mengine yoooote lakini kamwe hawezi kuzuia kifo chake mwenyewe!!

Lakini Mungu wa Lema ni yule asiyekufa na aliye hai milele na milele ambaye aweza kukuacha tu ukitamba for sometimes, lakini mara muda wake ufikapo humshusha yeyote anayejifananisha naye hadi kuzimu!!

Ameeeen!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…