Shamba la ng’ombe lililoacha gumzo ziara ya Pinda Uarabuni

Shamba la ng’ombe lililoacha gumzo ziara ya Pinda Uarabuni

Miaka ya sabini na themanini kilimo cha Tanzania kilikuwa cha kisasa kuliko hicho ambacho waziri mkuu anashangaa. Viongozi wetu wakoje kulikuwa na mashamba ya nafco west kilimanjaro, mbozi mbeya, kitulo mbeya ambayo kutokara na sera za mchwa CCM mashamba yamekufa .
 
Ranchi zetu ni ufisadi mtupu; hata watu wetu wakienda kutalii !
Serikali imewasaidiaje wasomi wa chuo kikuu cha SUA ?
 
Nani wananufaika na ranchi za taifa; maana wananchi wanaozunguka hawanufaiki na ardhi kubwa wala mazao ya mifugo hiyo ?!
 
CCM waache usanii West Kilimanjaro miaka ya 70 tulikuwa na shamba zaidi ya hilo la dubai lenye feni.Sasa hivi wanakumbatia wenye mahela wanawalisha watanzania maziwa ya unga yenye melamine wanayaweka maji na kuyapaki.wao wanawaita waekezaji.wengine wana changanya unga wa miogo,rangi na sukari wanasema pure fruit juice.magazeti yetu yanashabikia watawala.Sauzi kuna ngombe wa nyama wa kilo 2000.na awashangai.sisi kila kitu chenye siha tunasema cha KIZUNGU.kuku wa kizungu.mapera ya kizungu.....
.
 
tuache ushabiki CCM awawezi chochote.50 yrs bado wanaleta stories.Wakulima ,walimu wanateseka daily
 

Attachments

  • images-5.jpeg
    images-5.jpeg
    6.3 KB · Views: 1,140
  • images-3.jpeg
    images-3.jpeg
    10.9 KB · Views: 326
  • 2015-01-12-22-17-43-1888583362.jpeg
    2015-01-12-22-17-43-1888583362.jpeg
    7.5 KB · Views: 1,157
  • 2015-01-12-22-17-51--1264675600.jpeg
    2015-01-12-22-17-51--1264675600.jpeg
    12.2 KB · Views: 324
Hawa hata wangelala kwenye hilo shamba hawana la kutuletea huku zaidi ya kutabasamu kinafiki tu. Ndio maana Kagame ananenepesha ng'ombe zake kwa nyasi za ardhi ya Tanzania)
 
huyo waziri wa mifugo hata akipeleka wataalam wote wa wizara hakuna kitakachofanyika katika kuendeleza ufugaji zaidi ya porojo za kisiasa. na utashangaa wataalam watakaopelekwa unakuta ni katibu na naibu katibu mkuu wa wizara ambao wao wanashinda ofisini tu hata wakirudi toka kwenye hayo mafunzo.
 
Kwahiyo waziri mkuu wa Tanzania ameenda kujifunza ufugaji wa ng'ombe uarabuni sio...?najisikia aibu kubwa sana.kwaajili ya lanchi zetu au lanchi zake?
 
Badala ya kushangaa hilo shamba ni vema wakajishangaa wao wenyewe.

Huku kwetu kila kitu akianzisha mwananchi ni haramu.

Tunafahamu vita iliyopo kati ya wafugaji na serikali, wafugaji Tz wamekuwa kama wakimbizi.
 
Ndio shida ya Viongozi wenye exposure nusu bakuli. Vitu vya kawaida kabisa wanavishangaa.

Hopeless
 
Miaka zaidi ya 50 nchi bado haieleweki,tuwape wengine tuone watatufikisha wapi,ccm out
 
Miaka zaidi ya 50 nchi bado haieleweki,tuwape wengine tuone watatufikisha wapi,ccm out
PINDA aache kwanza kujiona kijana kwa kupaka pickle nywele ili kuficha mvi. Ukiona mtu anaficha umri wake ujue ana tatizo la kisaklojia. Pinda ni play boy hatufai kabisa. Mtu unaenda kutembelea shamba unapiga suti ovyo kabisa hiki kibabu
 
Unajua vitu vingi mpaka vinatia kinyaa. Waziri mkuu wa nchi hii iliyojaa mvua, maji, nyasi na majani anaenda kuona kiwanda cha maziwa Dubai?
Mazingira yanafanana? Si kwamba waarabu ndio wangetakiwa kuona kiwanda cha maziwa huku kwetu?
Siku moja nilisema waafrika tunamatatizo lakini jamaa mmoja akasema ukisema matatizo ni kitu kidogo. Akasema sisi waafrika tuna MAPUNGUFU. Binafsi siamini mwafrika ana mapungufu yoyote. Tatizo ni utamaduni tu wa maisha ya mwafrika, ndoto zako finyu na malengo yetu mafupi vinavyotufanya tuwe kama tulivyokuwa jana walipokuwepo babu zetu.
 
Back
Top Bottom