Shamba La miti pamoja na ardhi vinauzwa

Shamba La miti pamoja na ardhi vinauzwa

filbath

Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
8
Reaction score
36
Shamba la Miti lenye ukubwa Wa ekari tano pamoja na ardhi vinauzwa kwa pamoja ,shamba linapatikana iringa mufindi,(luhunga) aina ya Miti ni misindano(paina)umri ni miaka mitano being ni million 6.5,,kwa maongezi zaidi 0714035105/0769725265,kalibu View attachment 1111278
IMG_20190527_154913.jpeg
 
Hii miti inanikumbusha Mbeya enzi za highschool...
Yaani miaka sita ndo inaonekana hivi! Duh!
 
Shamba la Miti lenye ukubwa Wa ekari tano pamoja na ardhi vinauzwa kwa pamoja ,shamba linapatikana iringa mufindi,(luhunga) aina ya Miti ni misindano(paina)umri ni miaka mitano being ni million 6.5,,kwa maongezi zaidi 0714035105/0769725265,kalibu View attachment 1111278View attachment 1111279
Hiyo bei kwa eka au eka zote 5, je kuna miti mingapi kwa eka, una hati ya shamba
 
Hii biashara imengia na nini mbona watu wanaikimbia sana,kama ina miaka 6 hapo si umebakiza miaka miaka tisa tu uwe milionea.
 
Hii biashara imengia na nini mbona watu wanaikimbia sana,kama ina miaka 6 hapo si umebakiza miaka miaka tisa tu uwe milionea.
Kwa hiyo miti hata si 9 ni miaka 4 umavuna mbao za kutosha nadhani dailiy need zimebana sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom