Shamba la kuku linauzwa

Shamba la kuku linauzwa

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,457
Reaction score
699
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji yapo mengi na umeme pia.
Njoo uone, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior
 
Waswahili wanataka picha mkuu hebu wakee naona washaanza mambo ya impress sijui ndo makitu gani
 
Papaa kinyani fanyia kazi maoni ya wadau ili tangazo lako liwe na maana
 
nasubir picha nione namna hao kuku walivyostawi kwenye hilo shamba. Thanx!
 
Hizo ni mbinu za madalali wa kibongo, full ubabaishaji...anakutega ujichanganye kwenye bei ili akupige. Kumbe ndio wanapoteza wateja. Poor you!
 
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji yapo mengi na umeme pia.
Njoo uone, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior

Hilo jina la chini kabisa Xhevior.. UMEKODI
 
Back
Top Bottom