Shamba la kuku linauzwa Kitopeni, Bagamoyo

Shamba la kuku linauzwa Kitopeni, Bagamoyo

AdilDoloo

Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
12
Reaction score
0
10 acres; Bei: $ 350,000


Simu: 0787 528745


Umeme, kisima, mabanda matatu na kila banda linabeba kuku 12,000; godown, kinu cha kutengeneza chakula cha kuku,mashine ya kunyonyoa kuku, cold room na mengineyo.



 
yani kwa maelezo tu nahisi hii project ni nzuri! tuwekee na picha ili tutamanie vizuri. kwanini unauza lakini?
 
Siuzi mimi, anayeuza ni mhusika. Mimi ni agent. Labda kaamua kuuza ili apate hela kwa ajili ya investment nyingine au hakutaka kusimamia hilo biashara. Kuna watu nimekutana nao wanaohisi biashara nzuri haliwezi kuuzwa au kama linauzwa basi halitakuwa biashara nzuri. Hizo ni fikra za kijinga kwani kuna mahoteli makubwa yaliyoendelea yameuzwa. Hivi karibuni tu kuna kampuni ndogo ya insurance ya China inayoitwa Anbang insurance ikanunua mahoteli na resorts za Waldorf Astoria iliyomilikiwa na kampuni maarufu inayoshughulika na mahoteli inayoitwa Hilton huko New York, Marekani kwa gharama ya USD 1.95 Billion. Kama ingekuwa hamna biashara wangenunua wachina?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom