Plot4Sale Shamba linauzwa Arusha

frankmweka

New Member
May 9, 2017
3
2
Shamba linauzwa lipo mpakani mwa Arusha na Manyara, lina ukubwa wa heka 180 linauzwa lote huduma ya umeme ipo maji mabomba yameshapita lakini mwisho wa eneo kuna mto umepita na shambani kuna camp imetengenezwa pia.

Kutoka Arusha mpaka shambani km49 unapitia njia ya Oljoro eneo linaitwa Oljoro namba 5.

Heka moja inauzwa 1 million.

Serious business 0629194102

IMG-20230423-WA0015.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom