Mkuu unaandika kama vile mgeni wa Siasa. Kwanza Kikatiba ni kosa.kubwa sana kumtambulisha rais wa nchi kama MAMA. Na kosa hili lina impact kubwa kwa sababu Mama hakosolewi, Mama anaheshimika hata kama akikosea ni Mama yako!Mama as Mama, she is doing great, ila bado kuna baadhi ya wasaidizi wake wanamuangusha, hao watupishe!.
Mambo ya kutajana tajana kwa vyeo na majina ni mambo ya kishamba!. Wastaarabu hawataji taji majina, ndio maana niliwahi kushauri we don't need strong leaders wa kufoka foka, tunahitaji an effective system, you mess, no one tells you ume mess, system ina ku detect na kuku eject, rais hana haja ya kuhangaika kutumbua tumbua, you mess today, kesho rais unajikuta resignation letter yako mezani kwake!
Kwani Tanzania tuna vyama vingi in a real sense of multi party?. Tanzania tuna jina tuu la nchi ya multi party but the reality ni tuna chama kimoja tuu, the one and only, kiki play the game of politics na mfano vyama, au vyama makapuku!, hivyo hakina mshindani wala mpinzani!.
Kwanza kwenye ripoti ya CAG, kila ubadhirifu unaotajwa wa fedha za umma, sio lazima fedha hizo ziwe ni zimeibiwa!. Fedha nyingine ni matumizi mabaya tuu lakini hakuna fedha yoyote iliyoibiwa!.
P
Hakuna na akionekana tu mara moja anakatiwa ticket ya ndege akasome Cuba kwanza,Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja wa mfano katika Upinzani wa Kisiasa..
Itakuwa walimnukuu vibaya tu kwamba kila buzi ale kwa urefu wa kamba yake๐คฃ๐คฃ๐คฃMkuu unaandika kama vile mgeni wa Siasa. Kwanza Kikatiba ni kosa.kubwa sana kumtambulisha rais wa nchi kama MAMA. Na kosa hili lina impact kubwa kwa sababu Mama hakosolewi, Mama anaheshimika hata kama akikosea ni Mama yako!
Pili, wewe unampimaje Kiongozi? Unaposema Mama anafanya vizuri ni uzuri upi? Ikiwa kutwa Waziri Mkuu anakamata watu wamefisadi fedha za Umma!
Acha report ya CAG ambayo mimi naona bado ina mapungufu mengi tu, pitia magazeti na ziara za Waziri Mkuu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa katika miradi yote! Ni wizi kila kona! Mradi gani ulokamilika leo na kwa kiwango cha juu?
Rais anajitahidi sana lakini baadhi wasaidizi wake wanamuangusha! Kwa nini wanamuangusha? Kama kuna watu wanamuangusha, yeye anafanikiwa wapi?
Na unapozungumzia system ni system ipi hiyo ikiwa mkuu wake hajali! Kama unavyozungumzia vyama vya Siasa ndivyo System ilivyo -The back stop at the President. Sema ukweli rais Samia anawajali na anawalisha wanawe vema wanenepe. Kama Mama atawalinda wanawe hata kama wamekosea. Mama hamtupi mwanae, nanyi bado mnataka nyonyo za chupa! Hili ni kosa kubwa sana litatugharimu. It's about time someone to raise a voice, ujinga wa kula mpaka mbegu sii Ujanja hata kidogo..
Ukitaka kurahisisha, then utawalaumu tu wale walioitwa stupid. Lakini ukitaka kuwa mkweli na muona mbali, then utaangalia ruzuku kwa vyama pinzani waliyofikia makubaliano na kulipwa kimya kimya, kuwa nayo ni aina ya rushwa ya kuwalainisha.Lakini mna ushahidi wa hao mnaowaona wamehongwa chochote na utawala wa Samia, hasa wapinzani? au ni huko kutotaja kwao jina la Rais ndio ushahidi wenyewe?
Kwangu ushahidi nilionao wa wale wanaopiga pesa ndefu wakati huu, au niseme awamu hii, ni wale waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, na Samia akaishia kuwaita stupid.
Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu - Kila mmoja wao leo anakula kwa urefu wa kamba yake.
Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja wa mfano katika Upinzani wa Kisiasa..
Ingekuwa wabongo wanajielewa baada ya maneno haya ya prezda kuhamasisha ulaji kungetokea maandamano makuubwa kulaani kauli yake, ashukuru anaongoza vilaza...wachache wenye akili nao wanakula mema ya nchi!.Shamba la Bibi๐๐๐
View attachment 2578533
Hawawezi kutumia neno la "Serikali ya Raisi Samia" imeshindwa kufanya hivi na vile kwa sababu huo ndo mkakati wao kuhakikisha kila mtu aiba atakavyo na hakutakuwa na wa kusema vinginevyo.Mkuu ebu wasikilize vizuri wote wanakwepa kusema ama kutaja jina la Rais Samia. Watamtaja waziri, Bunge, Chama, Taasisi au Kiongozi mwingine na hata wakatumia neno Serikali lkn hutasikia "Serikali ya rais Samia" imeshindwa kufanya kadhaa wa kadhaa! Hakuna anayethubutu kumkosoa wazi wazi Rais, wao wanamwita Mama sio! Mimi nimegundua hilo kwa sababu Mama amejua kulea wanawe..
Ni kama viongozi wetu wanavyoshindwa kukemea Ushoga hadharani ama.kuonyesha nini msimamo wao kuhusiana na Ushoga..
Mama as Mama, she is doing great, ila bado kuna baadhi ya wasaidizi wake wanamuangusha, hao watupishe!.
Ushamba una ubaya gani kama uko effective kutatua matatizo na kujenga uwajibikaji? Mbona nchi zilizo mbele kidemokrasia wanatajana magazetini, redioni na kwenye TV?Mambo ya kutajana tajana kwa vyeo na majina ni mambo ya kishamba!. Wastaarabu hawataji taji majina, ndio maana niliwahi kushauri we don't need strong leaders wa kufoka foka, tunahitaji an effective system, you mess, no one tells you ume mess, system ina ku detect na kuku eject, rais hana haja ya kuhangaika kutumbua tumbua, you mess today, kesho rais unajikuta resignation letter yako mezani kwake!
Kama hatujaweza kuwa na multi party system, tunawezaje kuwa na system ya kuwajibishana isiyomhusisha raisi mkali? Maendeleo yote nchini kwa sasai yanahitaji raisi mkali, mtendaji na sio raisi mkaa pembeni na kuja kwenye TV kulalamika juu ya aliowateua bila kuchukua hatua.Kwani Tanzania tuna vyama vingi in a real sense of multi party?. Tanzania tuna jina tuu la nchi ya multi party but the reality ni tuna chama kimoja tuu, the one and only, kiki play the game of politics na mfano vyama, au vyama makapuku!, hivyo hakina mshindani wala mpinzani!.
Kwanza kwenye ripoti ya CAG, kila ubadhirifu unaotajwa wa fedha za umma, sio lazima fedha hizo ziwe ni zimeibiwa!. Fedha nyingine ni matumizi mabaya tuu lakini hakuna fedha yoyote iliyoibiwa!.
P
Hawa ndo sehemu kubwa ya wapashaji habari ambao wana vibuyu vya asali.
Utawasikia wakisifiana kwa ile misemo yetu ya jando na unyago; Kwamba "ukila na kipofu usimshike mkono".....Huu utamaduni wa kudhurumu hata vipofu umejengeka na unatekelezwa huko Serikalini tena bila hata aibu.Hawawezi kutumia neno la "Serikali ya Raisi Samia" imeshindwa kufanya hivi na vile kwa sababu huo ndo mkakati wao kuhakikisha kila mtu aiba atakavyo na hakutakuwa na wa kusema vinginevyo.