Shamba bei pooooaaa!

Jichokuu

Member
Apr 28, 2012
48
1
Wanajamii heshima kwenu!Nimeona vema niwashirikishe, kuna jamaa yangu amebanwa na majukumu ambayo yamemlazimu kuuza kiwanja/shamba lake lenye ukubwa wa heka moja kwa sh mln 3.5 tu,liko kibaha msangani km 6 toka kwa mathias,kinafikika bila taabu. Kwa maulizo;
0719081205
 
Wanajamii heshima kwenu!Nimeona vema niwashirikishe, kuna jamaa yangu amebanwa na majukumu ambayo yamemlazimu kuuza shamba lake lenye ukubwa wa heka moja kwa sh mln 3.5 tu,liko kibaha msangani km 6 toka kwa mathias,kinafikika bila taabu. Kwa maulizo;
0719081205
Nina Mil.1.5 vipi inalipa tufanye biashara?
 
hapana mkuu hiyo ni pesa pia lkn bado uko mbali, pengine ungesema 2.9-3.2mln.Jiongeze mkuu huyu m2 kabanwa kama nilivyosema anahitaji hiyo pesa.

Hilo shamba linafanana na lingine lililopo Visiga Madafu (3km frm Morogoro Road) linalouzwa 3.5m @acre. Duh sijui nikanunue wapi sasa maana bei naiona ipo juuuuuuu
Hivi chalinze siwezi pata angalau acre 5 kwa 1m jumla?
 
Kwa chalinze sijui,ila wajua ardhi inapanda kila leo kwa hiyo fanya uamuzi mkuu,waweza zungumza na ikapoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom