Yaani mtu uwe na uwezo wa kuosha vyombo ila kujiosha mwenyewe huwezi?Ushaosha vyombo vyako unadubiri kuogeshwa
View attachment 1603168
Hakuna Moto ndugu ukishakufa ndo imetoka hiyo.. ni kama vile kabla hujazaliwa hukuwepo na ufahamu wako haukuwa tambuzi!Imagine watu hawa wameishi katika maisha haya magumu halafu bado tena anafikia motoni Jamani.. Daah
View attachment 1603166
Sasa hivi unaweza kujisugua mgongoni?Ndio, Vyombo unaweza kuosha mama yuko pembeni anakuelekeza. Ila kujisugua unaweza shindwa kujisugua mgongoni
Mkuu