Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Habari zenu wana MMU natumaini mu wazima wa afya tele.!
kama mada inavyojieleza system hii imepamba moto sana hasa kwa wachumba wengi au wapenzi wengi hasa hasa wanaume wamekua wakiwapachika mimba wapenzi wao few days 2 go 4 weding ili kuthibitisha miamala ya wapenzi wao kama salio limefika au la...!!!!
je hali hii imesababishwa na nini hasa mpaka ikawa hivi ambapo zamani mke alikuwa anaolewa ndo inajulikana kama mashine ni ya mchina au la.!
NAWASILISHA