Shaka Hamdu Shaka msumari wa moto kwa Upinzani Tanzania

Trust me, CCM ikidondoka haitakuja kusimama tena!
 
Ni msumari mchungu kwa makalio yako labda.
Ili jukwaa limejaa pimbi sana siku hizi.
 
Huu mi upuuzi kama upuuzi mwingine kusifia ujinga kwani kuwa na upinzani ni Vita?. Mwamba ni yule anayetatua matatizo ya watanzania kwa weledi na ubunifu sio haya mapambio mnaimba kila kukicha huku nchi inapiga maktime.
 
Nchi imepiga Mark Time kwenye nini?
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
#CCM KAZIIENDELEE
 
CCM haina vijana wenye uwezo wa kujenga hoja, na hili ndilo tatizo walilonalo ingawa wao hawajui.

Du we kweli Shida. Unawajua hao Vijana wote wa ccm au unaota mchana. Mimi ambaye Sina chama nawafahamu. Sema Shida uliyo nayo Ni uchama. Nahisi hawa watukanaji ndo wajenga hoja. CCM Ni zaidi ya hao unaowaona. Ndo mana wako Hapo b
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…