Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,854
Tazama ndani nafsini,taona upo shimoni.
Miguu nasa topeni,lilozito mchangani.
Kwa maji mferejini,yaendayo mashambani
Yenye kasi kama nini,yabeba vita sabini.
Kwenye vita vya kunguru,mwewe huwa furahani.
Shairi=VITA VYA KUNGURU.
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
0655519736.
iddyallyninga@gmail.com
Miguu nasa topeni,lilozito mchangani.
Kwa maji mferejini,yaendayo mashambani
Yenye kasi kama nini,yabeba vita sabini.
Kwenye vita vya kunguru,mwewe huwa furahani.
Shairi=VITA VYA KUNGURU.
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
0655519736.
iddyallyninga@gmail.com