Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Tangu asubuhi sijakuona kipenzi kichwa mwenzio naumiza uko wapi
Uzuri wako si ajabu ni wazi tena ni mfano tosha zaidi ya mfilipi
kichwa kidogo mithiri ya panzi ila ni zaidi ya bindam wanaowaza chup*
Paka ndie wangu milele laazizi wengine wote kwangu bado hawalipi
Umenifanya niwe zaidi ya crazy nafunguka ya moyoni katu siopgopi
Ajira utakosaje caz panya washakupa kazi, ndomana unanifanya niwe happy
darly tabia yako jikoni kama paparazi, rambo ya kambale kichen ishatoboka, ni vipi?
Paka ndie wangu milele laazizi wengine wote kwangu badohawalipi
meow meow sauti laini haikwaruzi hakika ni tamu ka pipi
nmekulea umekua ukiaga ntakenzi nikukane paka wangu kwa lipi
kucha huzifichi nkileta upuuzi walahi nkijitia hamnazo mparuo sikwepi

wananiona mhuni nmekuita pusi juzi, washakuaribia jina wenye akili fupi
ulivyopigwa na jirani siwezi zuia chozi, ndio mana kila mda najiuluza u wapi
watoto wako wanakuitaji wewe ni mzazi, japo huna haja ya kuwavisha nepi