Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

Lets think outside the box Great Thinkers.Mashaidi wanasema walimsikia akisema au kutamka maneno ya ubaguzi,je ilibidi wamshitaki Lema kwa Burian,Polisi au kwa msimamizi wa uchaguzi?
Je hayo maneno au kauri alizo tamka zinaweza zikawekwa in public yaani alivyoyatamka na tukasikia?
Je gazeti la mwananchi lina uhalali wa kuweka in public mashtaka au madai na ushaidi ambao bado huko mahakamani?
Mtuhumiwa angekuwa niwa CCM Jk bila au CJ wangekuwa wameshaingilia kati kuhusu gazeti ili nakulikataza kuzungumzia kesi ambayo hiko mahakamani lakini kwakuwa wako kimasilai zaidi wamemute.Then what to do.
 

Wewe mbona unakuwa na tabia za kinafiki hivyo kuna mtu mdini kama wewe? 90% ya mabandiko yako JF ni kutukana uislamu huna lolote mnafiki mkubwa!
 
Ni matumaini yetu kwamba haki itapatikana na ili ushahidi huu uzingatiwe ni vema na CD iliyorekodiwa ya mkutano huu ikaletwa mahakamani. Pia kama shahidi ameandika statement halafu anaikana na badala yake anataka porojo zichukuliwe kama ushahidi sahii basi hapa kuna mushkeli ila wanasheria watuambie hapa kama implication yake ni nini haswa.
 

Kama Batilda alifikiri maneno ya Lema ndo yalimnyima Ubunge Arusha basi ajaribu tena kugombea 2015 na Lema wala asipige kampeni bali apite tu mitaani akisalimia wapiga kura kimya kimya aone kama yeye(Batilda) atapata hata kura 1000. Yeye akubali tu alishindwa na asitafute ushindi wa bure na ukweli ni kwamba CCM ikubali tu kuwa Arusha si yao tena iwe Lema yupo au hayupo
 
Ikithibitishwa kuwa Lema alitamka hayo utakubali kwamba yeye (Lema) MDINI? au utatoa maelezo mengine???

Mkuu hapo wala simung'unyi maneno ikithibitishwa kwamba Lema alitamka hivyo akiwa na NIA OVU basi hastahili kuwa kwenye nafasi yoyote ya uongozi katika jamii. Vivyo hivyo ikithibitishwa hakusema hivyo hao (Batilda, et al) waliomzushia uongo huo wa hatari wavuliwe nyadhifa zote walizo nazo na wapigwe marufuku kabisa kushikilia wadhifa wowote wa ofisi ya umma ndani na hata nje ya nchi na watangazwe kuwa watu hatari katika jamii. Kuna ma-NGO's kibao yanahubiri chuki huko mitaani, waende huko wakakumbane na mkono wa dola.

Lakini wasiwasi wangu ni kwamba hamkawii kuandamana na mavitisho yenu kuwatetea. Ndio maana nilisema huwa hamueleweki mnachokitaka na mnachokipinga. Hamtabiriki nyie wandugu.
 
Wewe mbona unakuwa na tabia za kinafiki hivyo kuna mtu mdini kama wewe? 90% ya mabandiko yako JF ni kutukana uislamu huna lolote mnafiki mkubwa!

Yamekuchomae? Kusema ukweli ndio kuutukana uislamu! Pole.
 
duh...ccm mwishowe watakuja kujichokonoa bila kujijua

Mkubwa!

Hw mafisadi mwisho wao ni pabaya hakika nawaambia!

Pili hawa mafisadi wasitegemee Dunia tuliopo leo kwa uweza wa MUNGU siyo ile ya karne ya 18.

Hw mafisadi mbinu zao tunao mifukoni.
Hata wafanye juhudi zao wajuavyo hakika jimbo hila la A town kwenda kwa mafisadi ni sawa na mtu anayeota saa tatu ya asubuhi!

Viva Chademaaaaaaaaaa!
 
Hivi is there any condition tha disqualify a candidate on the grounds like udini ?
 
Jimbo la Lema ni gumu sana,Anapata vikwazo vingi kufanya kazi yake.
 
What matters is the difference between allegations and verdict lets wait for the verdict period!
 

Ulitaka ku-act movie lakini kiwango chako kidogo!!
 

Too narrow to cover the subject matter....... Its just describes who you are na uwezo wako wa kujenga hoja.....
 
Wanapoteza muda tu na pesa za walipa kodi masikini maana matajiri ni wakwepaji wazuri wa kulipa kodi. Naamini mikutano mingi ya chadema wakati wa kujinadi hasa ya wagombea machachari ilirekodiwa, wazame liblary wachukue hizo min dv wapate ukweli.
 

Nadhani wakati unatuma hii post ulikua tayari ushakula UBWABWA...
Madhara ya UBWABWA ni makubwa kuliko tunavyofikiria
 
tusubiri mahakama jamani.ila hii tabia ya ushabiki wa vyama kila kona utaua nchi yetu ndugu zanguni
 
Lema ana vikwazo vingi sana Arusha. Mungu ampiganie daima.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…