Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

Cha kujiuliza ni kwamba wameathirika vp hao kina Mkhanga? CCM wanatengeneza mazingira ya uchochezi kwa wananchi, jambo ambalo ni hatari sana kwa afya ya taifa hili. Haki haijawahi kushindwa hata mara moja.
 
Kama alisema ni ubaguzi? muwe mnafikiria kwanza si kupandikiza udini kwa nguvu acheni udini wenu.......Kila unachotumwa unaandika changanya na mawazo yako
 
Atakuwa amepatikana na hatia ya udini kama mahakama itamkuta na kosa. lakini kwenye siasa tunahitaji subira ya mahakama kutupa ukweli baada ya uchunguzi
 
Mkuu tuache udini hapa jamvini
 
lini mambo yatapamba moto? naona sifa ya kujilipua imewalewesha wengi...ukweli ni kwamba hakuna mtu anayemuogopa 'nyau' yeyote.
Mpuuzi ww na unafaa kupuuzwa. Mada ni habari ya kesi ya Lema iliyoandikwa kwenye gazeti, sasa huo unyau wako unaingiaje hapo?
 
Kama alisema ni ubaguzi? muwe mnafikiria kwanza si kupandikiza udini kwa nguvu acheni udini wenu.......Kila unachotumwa unaandika changanya na mawazo yako

Mimi nadhani itungwe sheria kali ya Ban ya maisha kwa member yeyote anayeshabikia udini hapa JF
 
Nachukia siasa chafu. Wakuu chondechonde na siasa za udini, iko siku tutakuja kuwa wakimbizi.
 
thread kama hizi ndipo utawajua wenye kupenda siasa za udini, badala ya kuona tuhuma hizi ni za Lema na kama atapatikana na kosa atawajibika kwa ubaguzi wake wao watalikuza na kulifanya ni kosa la dini moja kuishambulia dini nyingine.
 
Kama ni kweli!
Basi huo ni Unabii! na kama ni kwetu basi, Mh Lema angepelekewa mbuzi beberu Kubwa sana kama zawadi! Tena asubuhi subuhi! kwa unabii huo aliotabiri.
Msiwe na wasiwasi hadi kwenye vijuba!
 
Aliyetoa ushahidi dhidi ya Godbless Lema ni Agnes Mollel wote ni wakristo. Hapa hakuna udini ni uzalendo kwa wakristo kupambana mahakamani kutetea haki ya mwislamu Batilda Buriani.

Ndio kusema wadini msikuze jambo hili halijakaa kidini.
 
Tusubiri mahakama itoe hukumu ndio tumjadili.

Mods please thread kama hizi zinashusha sana kiwango cha JF.Na ndio maana siku hizi baadhi ya viongozi wenye majina wanashindwa kuingia hapa JF kuchangia hoja.Haiwezekani mtu analeta maneno ya mashahidi mahakamani kwamba ni confirmed news.Tafadhali ondoeni thread zenye mapungufu kama hii kwa heshima ya JF
 
Hii thread yenyewe ya kidini, sasa wewe ulitegemea kupata michango gani zaidi ya hii ambayo inatolewa! Kumbuka mwiba uchomeapo ndipo utolewapo.

Aliyetoa ushahidi dhidi ya Godbless Lema ni Agnes Mollel wote ni wakristo. Hapa hakuna udini ni uzalendo kwa wakristo kupambana mahakamani kutetea haki ya mwislamu Batilda Buriani.

Ndio kusema wadini msikuze jambo hili halijakaa kidini.
 
Nimetambua kumbe wenzangu humu vihiyo,mtu amepeleka ushahidi kortini wa umbea eti great thinkers mnaujadili.hata mleta hii mada yaonekana amelewa buku mbili za chatanda
 
Kesi haijafikia mwisho tuwe na subira hakuna haja ya kushambuliana kwa imani zetu.
 
Hii thread yenyewe ya kidini, sasa wewe ulitegemea kupata michango gani zaidi ya hii ambayo inatolewa! Kumbuka mwiba uchomeapo ndipo utolewapo.

Sasa kama ni thread ya kidini ina sifa gani kuwepo hapa?
 
Kwenye siasa kuna ushindani wa kutengeneza tuhuma na zinatungwa kwa umahili mkubwa. Tujadili mada hii lakini tusihukumu ni mapema kufanya hivyo kabla ya mahakama.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…