Shahada ya maendeleo ya jamii kwa dar inatolewa wapi?

Superleta

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
575
Reaction score
667
1.Nataka niisome hii course ya bachelor degree in community development nilisoma diploma yake pia sitaki nichanganye course hapa dar ni chuo gani cha uhakika wanatoa hii??

2.Hvi jamani pia kwa mtu aliyesoma hii course inayoendana na hii pia ni ipi na hapa dar degree yake jee inatolewa wap hapa dar?
 
JARIBU KUULIZIA CHUO CHA MWALIMU NYERERE NA USTAWI WA JAMII LABDA
 
Back
Top Bottom