Shaffih dauda hana kazi nyigine ya kufanya?

Shaffih dauda hana kazi nyigine ya kufanya?

sasa hiyo si ndio kazi? ama afanye nini tena jamani! nafikiri anapaaswa kupongezwa kwa kuwa muwajibikaji bora, na anayejituma kwa ajili ya taifa lake.

nafikir umekosea heading pengine ingeleta maana zaid kama ingesomeka 'shafii dauda hana muda wa kupumzika?' nisamehe sana mkuu.

huhitaji kuomba msamaha
umeongea point tupu
na umeonesha busara
 
Kumbe alikuwa bank teller ndo mana sababu uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana halafu ata huo u teller pia alikuwa anafanya kwenye bank ndogo (TWIGA) No challenge yani anaongeaga utadhani kazaliwa brazil tena familia moja na PELE kumbe ni jamaa wa UAMSHO pale mchambawani ZENJ ngoja tuukatae muungano arudi kwao akafanye azichambue KMKM,MIEMBENI,SHANGANI na MCHAFUKOGA FC.

hii ni jealousy na chuki
kama wewe unaweza zaidi yake nani kakuzuia?
ni wapi alisema yeye ana upeo mkubwa?
mbona redio na tv nyiingi zipo ambazo zina watu wengine na hulazimishwi kumsikiliza yeye
aliekuambia muungano ukifa watu watafikuzwa nani?
mbona tuna wakenya wanatangaza tv na hatuna muungano?
 
Wana jf mtaacha lini umbeya na kusema watu badala ya kufanya mambo yamsingi yanayojenga nchi?
 
hii ni jealousy na chuki
kama wewe unaweza zaidi yake nani kakuzuia?
ni wapi alisema yeye ana upeo mkubwa?
mbona redio na tv nyiingi zipo ambazo zina watu wengine na hulazimishwi kumsikiliza yeye
aliekuambia muungano ukifa watu watafikuzwa nani?
mbona tuna wakenya wanatangaza tv na hatuna muungano?

KAKA HIVI HUU MTANDAO SASA UMEINGILIWA ENZI ZETU HUU UMBEYA NA KUWASEMA WATU HAUKUWEPO. Sasa wamekuja hakuna topic za mhimu kwa nchi ama maendeleo tunazoweza kuongelea ila kukaa kuwajadili watu.
I Hate much these things.
 
kwani wewe huna kazi nyingine zaidi ya kuweka post humu jf
 
Acheni choyo hicho muacheni unajuwa kama professional yake huyo ni mtu wa it nakumbuka ifm alikuwa akichukuwa computer since wacheni majungu kwanini na nyinyi msifanye au hamtaki mtu aendelee mkipewa nyinyi mtaweza
 
unajivunia kumfahamu mwanamme mwenzio.,atakutafuna
 
Mbona kila siku yupo redioni,wakati wanzie wanapumzikaga!:A S-rap:

Acha uvuvi fanya kazi wewe, ni aibu kuongea mada kama hiyo watu dunia ya sasa wanapaswa kufanya kazi kwa bidii kuongeza ufanisi..ukiwa busy huwezi kuangalia nani anafanya nini..play your part acha majungu! umenikera sana.
 
Mimi nafikiri wewe ndio huna kazi ya kufanya, kwani kuna kosa gani kufanya kazi??? ndio maana wenzetu wanaopenda kufanya kazi kama china wameendelea sana, wewe na wenzio kila siku mapumziko, nyerere day, karume day, siku ya uhuru, muungano sabasab, nanenane, mapinduzi day, muungano day, n.k
 
Back
Top Bottom