GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,705
- 128,213
Jeff Lea yupo Azam Tv siku hizi kila siku saa mbili usiku. Jeff Lea, ally Mayay na Edo wako juu sana. Hawa wengine umbea na mahaba.
mkuu bado unasikiliza wafu fm ??
Duh, huyu jamaa ni mbishi tu..hana uchambuzi makini kabisa..yeye amekalia ubishi cku zote! Kuna kijana alikuwa naitwa Jeffy Leah, alikuwa hatari kwenye uchambuzi....anafanya comparative Analysis anajua historia, anafuatilia michezo yote! Huyu Dauda, hana lolote, nadhani apewe kazi ingine sio hii ya uchambuzi wa soka!
Achani unazi shafii daudi anajua mpira tatzo la wengi wetu ni chuki binafsi
Ila ukweli ni kwamba kwa game ya Yanga na Simba yule dogo Manyika Jr hakuna michomo ya hatari ambayo aliichomoa, hapa tukubali tu kuwa uzembe wa foward za yanga ndio unaompamba huyu dogo ila kwa ujumla hana kipya..kwa ile game ya simba na yanga shafii kasema kweli tu!!!
Ila ukweli ni kwamba kwa game ya Yanga na Simba yule dogo Manyika Jr hakuna michomo ya hatari ambayo aliichomoa, hapa tukubali tu kuwa uzembe wa foward za yanga ndio unaompamba huyu dogo ila kwa ujumla hana kipya..kwa ile game ya simba na yanga shafii kasema kweli tu!!!
Kuna kitu kinaintwa daemokrasia wanayo haki ya kusuta na kusifia na kila mtu ana elimuyake na akili yake na kama yeye kaponda basina wewe usiache kusifia
Kiukweli niliangalia ile mechi kwa makini lakini sikuona kashkash zozote goliki kwa Simba, ila namsifia dogo Manyika kwa hali ya kujiamini aliyoionesha.
. Shafii yupo juu. Michuki yenu peleken kuzim huko.
achani unazi shafii daudi anajua mpira tatzo la wengi wetu ni chuki binafsi
Huyo Jamaa Amenishangaza Sana Jana Na Ni Dhahiri Kuwa Ana Chuki Na Uongozi Huu Wa Simba Kwani Nimeambiwa Kuna Dili Alikuwa Analifukuzia Na Anataka Kulifanya Na Simba Na MNYAMA Wamemtolea MBAVUNI Na Pia Anatumika Na Ibrahim Masoud " Maestro " Kueneza Chuki Kwa Simba Kwani Maestro Alitegemea Naye Kupewa Cheo MNYAMANI ila Na Yeye Pia Kapigwa DOCHI LA MBALI. Nina Mengi Msiyoyajua Ya Kumhusu Huyo MITEGE Safiiii Na BINGWA WA USHIRIKINA na MAJUNGU Akiwa REDIONI na MICHEZONI Maksudi! Na NIMEMTOA RASMI KTK LISTI YA WADAU WA MICHEZO NILIOKUWA NAWAHESHIMU HAPA TANZANIA na SASA ANAINGIA Moja Kwa Moja ktk Kikosi Cha " MAPOPOMA ".
Umesema vyema mkuu, sijui kwa nini watu wanamsifia Manyika wakati game nzima haikua na mashambulizi ya hatari.Ila ukweli ni kwamba kwa game ya Yanga na Simba yule dogo Manyika Jr hakuna michomo ya hatari ambayo aliichomoa, hapa tukubali tu kuwa uzembe wa foward za yanga ndio unaompamba huyu dogo ila kwa ujumla hana kipya..kwa ile game ya simba na yanga shafii kasema kweli tu!!!