figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Walimteka Shebby kisa kachoma picha ya Rais. Kwanza picha yenyewe aliichora yeye. Pia alichora baada ya rais kusema atatekeleza mambo Four R. Lakini baadaye akagundua Samia hatekelezi 4R kama alivyo ahidi.
Shedrack akaamua kuchoma hadharani picha ya samia aliyoichora.
CCM wakamshitaki akafungwa. Kibatala akamtetea na Chadema wakapitisha mchango akatoka Gerezani. Alivyotoka Gerezani watu wakamteke. Hadi leo hajapatikana tena.
Hapa ni Mbeya Shadrack Chaula alitekwa na wauaji na kupotezwa hadi leo hatujui alipo.
Shadrack Baada ya kutoka Gerezani alifurahia Uhuru wake ila watu wenye roha za kishetani wakampoteza, unawezaje kumpoteza MTU kama Shadrack?
Tunaposema Samia ana roho zaidi ta Mchawi, tunaomba mteelewe. Hata vita ya Kagera watu hawakufa wengi kama kuteetea Uongozi wa Samia mwaka 2025