Shabiki wa Young Africans kutoka Dar wazua vurugu Moro

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
855
390
Baadhi ya shabiki wa Young Africans kutoka Dar baada ya mechi wakiwa njiani kurudi makwao walizua tafrani njia panda Bigwa, barabara ya zamani ya Dar na kusababisha usumbufu na uharibifu kwa raia na mali zao.
Kadhia hiyo ilitokea baada ya shabiki hao kushuka kwenye magari yao na kuanza vurugu ikiwemo kurusha mawe na kutawanya/kuvunjavunja mali za raia wafanyao biashara eneo hilo kwa madai ya "kuzomewa".
Kikosi cha polisi cha kutuliza ghasia kilifika lakini hali ilishakuwa shwari baada ya shabiki hao kuona wanaanza kukabikiwa na wenyeji na kuamua kupanda magari yao (coaster na hiace) na kuendelea na safari yao ya Dar.
 
mchezo wa mpira wa miguu ni dakika 90 ,wao wliondoka dar kwenda moro na matokeo yao sasa imekuwa tofauti wakubali matokeo walifikiri jaja alifunga magoli mawili mechi kati ya yanga na Azam kumbe jaja mwisho wake ni chalinze poleni sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom