KERO Shabiby Bus Acheni kukera

KERO Shabiby Bus Acheni kukera

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,342
Inakuaje kampuni ya usafiri kubwa na yenye jina kama Shabiby mnakera abiria kwa kuwafungulia muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane?
Gari zenu mnazo nzuri tu ila uswahili ndio umetamalaki kupitaliza.
Badilikeni jamani.
Makelele ni dalili ya ushamba uliopitiliza.
Gari ni ya kiwango cha juu kwa kweli ila inakuwa kama baa ya pombe inayotrmbea.
SHAME.
 
Ya kwenda wapi? Ilo tatizo la konda na dereva, tupe ratiba ya ilo bus tumuonye konda na dereva wake.
 
Pole sana mpezi mteja watu muhimu sana

tutajie bus plate namba muda na tarehe na lilikuwa linatoka wapi kwenda wapi

huyo dereva atasimamisha kazi mara moja
samahani sana mteja wetu kwa usumbufu

SHABIBY tumejipanga kuhakikisha tunampa HUDUMA bora mteja kwa usafiri wa uhakika na usalama

HUDUMA KWA WATEJA wasiliana nasi ni bure masaa 24 akhasante

Simu : +255 654 777 773
Barua pepe : info@shabiby.co.tz
 
Mimi ni mteja wa Shabiby bus service kwa muda mrefu. Kiujumla wako vzr. Mpigie meneja, yuko smart sana. Anatake action mara moja. Ishu ya muziki mkubwa usiku ni kitu kibaya in any way. Huo ni uzembe ya konda, siyo dreva, wala kampuni. Makonda wa usiku wapewe general instructions kwa usiku mziki uzimwe kwani abiria wengi wanakuwa wamelala.
 
Inakuaje kampuni ya usafiri kubwa na yenye jina kama Shabiby mnakera abiria kwa kuwafungulia muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane?
Gari zenu mnazo nzuri tu ila uswahili ndio umetamalaki kupitaliza.
Badilikeni jamani.
Makelele ni dalili ya ushamba uliopitiliza.
Gari ni ya kiwango cha juu kwa kweli ila inakuwa kama baa ya pombe inayotrmbea.
SHAME.
Ni sera ya kampuni hiyo? Ni suala la wafanyakazi wa hilo basi ungewaeleza tu. We km umetumwa kuharibu taswira ya kampuni, hvyo ni vt vdg vya kuwaeleza wahudumu
 
Back
Top Bottom