Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,263
hivi kuna mtu anamzidi mwanakijiji umbeya kweli??? khaaa
We ni Daudi mtata, sio Mchambuzi.....
Hata JK akiiona atalia!
Unajua tatizo la watawala wetu hawana watu wa kuwakumbusha haya, wamezungukwa na mahayawani ambayo kila siku ni nkumsifia na kumwambia kuwa bongo kama ulaya na uchumi unakuwa sana.
Hivyo vyote havikua kwenye priority yetu mzee! Sherehe kwanza, msiba baadae!
LOL.... mie mndundu kuliko sugu, mbishi kuliko dagaa na maneno kuliko mbwigahahahahaha
Naomba nisijibu hili mkuu....
Huyo ni poti wangu sana......
Ila mzazi pia una swagga za kimbeya kweli kama Sugu!
wivu wa kike huo bil 64 ndogo sana kulinganisha na umuhimu wa sherehe husika hivi hata baba mwenye binti au kijana anayeoa si atafanya kila awezalo kufanikisha sherehe hata awe masikini vipi nyie wa zamani kweli!!
Mi mara nyingi huwa nawashangaa mnaojiita Great thinker,kwani kuna tofauti gani mchaga kutumia milion kumi akisherekea xmas rombo na ndgu zake ambao hat secondary hawajagusa na nchi yenye watu zaidi ya 40mil?,nyie wenyewe kila mwaka mnafanya birthday zenu za zaidi ya 70 elfu na hili khari bado hamja timiza mahitaji yenu yote ya kifamilia iweje gvt isisherekee 50yrs kwa Bs?ok anaway this is a demothinking ground.
Haya sio mawazo yako, labda uniambie Nape amekutosa!Wanafunzi wangapi wameshindwa kuripoti chuo kisa ada?. Shule ngapi za kata hazna madawati, vitabu, laboratory n.k! Vijiji vingapi havina maji! Waalimu wangapi wanadai makato yao!.. Vijiji vingapi havna magari ya kubebea wagonjwa!
Matatizo ni mengi sana. Inakuaje watumie 64bln/day?. Hawawatendei haki watanzania.