Sh 64 bilioni zatumika sherehe za Uhuru!

Sh 64 bilioni zatumika sherehe za Uhuru!

Wangespend hata 5000bil maana watanzania ni mbumbumbu wacha wale hadi tukome
 
Coverage ya maonyesho nadhani sio tatzo la msingi.
Watz wana shida sana,nadhani point ya msingi ingekuwa ku-commit hiyo pesa kwenye miradi ya maendeleo
 
Inasemekama kuwa katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru serikali imechoma zaidi ya 70bn...!
Ninachojiuliza ni je, hizi pesa zote zimetoka wap wakati katika bunge la bajeti sikusikia bunge likihidhinisha kiasi hicho cha pesa(kama nilifuatilia bunge vizuri)?. Na kama fedha hizo zimechangwa na idara mbalimbali, je hatuoni kwamba tunapunguza yale malengo yaliyokusudiwa kufikiwa kwa fedha hizo?
 
kwa nini usichangie tu kule kwa mwanakijiji? The same thread is existing here. Mods delete this please.
 
Huu mfano wako hauji kabisa.
Huyu mchaga hajachota pesa za ukoo wala kijiji - ni zake jasho lake.
Hawa wanaoongelewa hapa wamechota kutoka fuko letu sote na hawajala na wananchi wote!


Ahsante sana Mkuu TM.
 
halafu wanawapoza eti posho zisiongezwe,kwani hizi b 64 ni za bendera na mabango? We need audited account report on these.pia tujue source! Delloite mpo? Maana CAG ndo walewale


Naam CAG naye kishakuwa fisadi...Auditing reports zake zimeshakachuliwa (Ujenzi wa nyumba ya Ndullu shilingi 1.4 billion, ujenzi wa UDOM na issue ya Jairo ya kukusanya mabilioni ili kutoa hongo) hakuna anayeziamini tena labda msanii na Serikali yake.
 
wanafunzi wangapi wameshindwa kuripoti chuo kisa ada?. Shule ngapi za kata hazna madawati, vitabu, laboratory n.k! Vijiji vingapi havina maji! Waalimu wangapi wanadai makato yao!.. Vijiji vingapi havna magari ya kubebea wagonjwa! Matatizo ni mengi sana. Inakuaje watumie 64bln/day?. Hawawatendei haki watanzania.
wewe sio ndio ulisema wanafunzi tusigome katika post ya mgomo wa udsm? Sasa kumbe unajua kabisa kuwa kuna wanafunzi wana shida na wanahitaji haki zao wakati serikali haijitumi unategemea tutaacha kugoma?
 
Wanafunzi wangapi wameshindwa kuripoti chuo kisa ada?. Shule ngapi za kata hazna madawati, vitabu, laboratory n.k! Vijiji vingapi havina maji! Waalimu wangapi wanadai makato yao!.. Vijiji vingapi havna magari ya kubebea wagonjwa!

Matatizo ni mengi sana. Inakuaje watumie 64bln/day?. Hawawatendei haki watanzania.
Naona unaanza kubadilika sasa na kuyaona yale ambayo wengi wamekuwa wakiyasema/kuyaandika hapa jamvini. Inatia moyo sana kuyaona mabadiliko haya.
 
Pcman, watu tulisha badilika wewe na wenzako bado tuuu!!. Oooohh!!! Shauri yako, utaachwa na kasi ya mabadiliko ilivyo kali
 
Hivyo vyote havikua kwenye priority yetu mzee! Sherehe kwanza, msiba baadae!

madai ya walimu?
kuongeza mishahara ya watumishi wa umma?
madawa hospitalini?
kununua vifaa bora vya hospitali?
kuboresha mazingira ya walimu?
kujenga madarasa na kununua madawati?
kuwekeza kwenye umeme?
ujenzi wa barabara?
ujenzi wa hospitali na zahanati?
kuboresha maslahi ya walimu?
mikopo ya elimu ya juu?
 
Mungu Ibariki Tanzania na uiokoe katika mikono ya wanyang'anyi hawa wasio na uchungu na raslimali za Taifa hili. Amen
 
That is why we hate our leaders they have failed even to set preorities for the nation, they are just there to enjoy for themselves. I hate ccm and sons.
 
Mi mara nyingi huwa nawashangaa mnaojiita Great thinker,kwani kuna tofauti gani mchaga kutumia milion kumi akisherekea xmas rombo na ndgu zake ambao hat secondary hawajagusa na nchi yenye watu zaidi ya 40mil?,nyie wenyewe kila mwaka mnafanya birthday zenu za zaidi ya 70 elfu na hili khari bado hamja timiza mahitaji yenu yote ya kifamilia iweje gvt isisherekee 50yrs kwa Bs?ok anaway this is a demothinking ground.

Duh!!
Masaburi @ work!hu
juhi kuwa hizi ni KODI zetu?
 
64 billion =(at least 10 hospitals + 5 Universitie) au japo dawati kwa kila mwanafunzi tanganyika nzima.
Eeeh Mungu tuondolee viongozi wenye upupu kwenye ubongo.

Ulikuwa na fikra na mawazo kama yangu
 
Sifa siyo za Mhaya!!!!!?????? Nadhani wasukuma utajiri wa kweli wa ng'ombe siyo sifa tu

hapo tu ushajisifu.... hebu pita bar za kirumba uone mtu anapanga pia kumi na anaongea utafikiri yuko mars ilimradi kapiga laki zake za kutosha

wahaya yao dharau sio misifa
 
Hela ambayo ingetosha kabisa kuunganisha wilaya ya karatu na Mbulu kwa kiwango cha lami. Mbulu ambayo kwa miaka zaidi ya 100 ya uwepo wake kama wilaya haina barabara ya lami hata moja!

Tungeweza basi kununua magari ya wagonjwa kwenye wilaya karibu 100 nchini na kuondokana na mpango wa vibajaji!

Tungeweza kuwalipa waalimu malimbikizo ya madeni yao na kuepukana na mgomo walioitisha mwezi januari mwakani!

Tungeweza kulipia mfuko wa jimbo kwa wabunge zaidi ya mia 3 kwa miaka miwili!

Duh! Hadi ccm itakapoondolewa madarakani tutakuwa tumebaki mifupa mitupu!

Mkubwa! Hawa mapapa wanaweza ikawa wanataka kukimbia Nchi sasa wanaamua kuvujisha kodi ya Watanzania lakini mwisho yao yaja.
 
halafu tukimaliza kula mifeza mingi hivi, rais anapanda ndege, bila hata aibu anabeba bakuli lake anaenda kwa wahisani kuomba hela za maendeleo!!!hii ni miaka 50 ya kujivunia kuwa omba omba bora wa tatu duniani na wa kwanza afrika!!
ayaaaaa... Basi tena ndo mafweza yashatumika na wezi kama kawaida yao ndo washapitisha michongo yao umo ndani, hii equation ni irrevessible, tuwaombee mabaya na kuwalaani wote waloshiriki, aaaaaamin
 
Mi mara nyingi huwa nawashangaa mnaojiita Great thinker,kwani kuna tofauti gani mchaga kutumia milion kumi akisherekea xmas rombo na ndgu zake ambao hat secondary hawajagusa na nchi yenye watu zaidi ya 40mil?,nyie wenyewe kila mwaka mnafanya birthday zenu za zaidi ya 70 elfu na hili khari bado hamja timiza mahitaji yenu yote ya kifamilia iweje gvt isisherekee 50yrs kwa Bs?ok anaway this is a demothinking ground.
Hongera kwa kufikiria nje ya box!
Siyo hivyo tu, wewe waulize wanatoa michango kiasi gani ya harusi wakati kuna vijana wengi tu wanaohitaji ada za elfu kumi kwenda shule za kata? Anayeikosoa serikali kwa hili ni mbumbu wa maisha na haitakii mema serikali ya JK.
 
wivu wa kike huo bil 64 ndogo sana kulinganisha na umuhimu wa sherehe husika hivi hata baba mwenye binti au kijana anayeoa si atafanya kila awezalo kufanikisha sherehe hata awe masikini vipi nyie wa zamani kweli!!
Pesa ya Familia tofauti na ya Taifa. Umuhimu wa sherehe ni nini haswa?
Hakikisha maji salama kwa kila mtanzania tutasherehekea siku tatu ama mwezi mzima kama msiba wa Mwl.Nyerere na sio huu upupu wenu
 
Back
Top Bottom