mtu akiomba bia mpe bia ukimpa pesa atakuzalau tu hatatosheka na hiyo pesapata picha:
Mtu anakuomba hela ya bia au soda, unampatia tsh 2000/=
alafu huyo huyo uliyempa hela anakwambia "yaani unanipa elfu mbili?? Dharau hiyo!"
wewe unasemaje hapo?
Hapo hajakwambia umpe hela ya kiasi gani!
Bora ahisi msanii kuliko akonfemu unamzarau
Yaani Papa mopao kila ukijibu unalalamika "hana shukurani", akiwa na shukrani utampa nyingi eehe?
Pata picha:
Mtu anakuomba hela ya bia au soda, unampatia Tsh 2000/=
Alafu huyo huyo uliyempa hela anakwambia "Yaani unanipa elfu mbili?? dharau hiyo!"
Wewe unasemaje hapo?
hapo hajakwambia umpe hela ya kiasi gani!
mkuu mbona hesabu simple tu...hapo unamwambia hebu nirudishie hiyo buku 2. akirudisha unageuka kuondoka zako au unauchuna. akiuliza mbona hunipi..unamwambia naitunza hii buku 2 siku zikiwa nyingi nitakupa! hapo ndo forever...
Ha ha ha ha ha bora kutoa kile moyo wako imekusukuma kumpa kuliko kuhangaika na ile dhana ya kuogopa kudharauliwa!
Au unasemaje Kongosho?
Kwa mtu anayetoa mshangao "Yaani unanipa buku 2???" Huyo hata ukimpa buku 10 hatakushukuru?
aaahhh Papaa utampaje mtu buku 2 jameni!!!
Nilifungua hapa kwa matumaini ya kukuta michango yako maridhawa, 'Mkatoliki' uliyetukuka. Haya ndio mambo saizi ya akili yako
Nilifungua hapa kwa matumaini ya kukuta michango yako maridhawa, 'Mkatoliki' uliyetukuka. Haya ndio mambo saizi ya akili yako
Haya
Ila ndio usiogope heshima kushuka
Kwa kazi ipi aliyofanya? uvivu hadi mfukoni. Mi sitoi hata bati
Utampaje mwanamke buku teni jamani, si bora umwambie sina.....
Teh! papa naomba ubadili jina asee, jina na matendo ni vitu viwili tofauti!!!!
Hiyo ilinikuta mimi nikiwa na elfu mbili tu mfukoni nikakutana na ticha wangu ile kuniona tu kaanza kuchecheka afadhali nimekuona mwanafunzi wangu twende unipe soda, mimi nikajua itakuwa soda kweli ile tumefika ticha kaagiza bia kipindi hicho bia ilikuwa buku, baada ya kulipa nikaona hapa hapanifai nimkamuaga ile kuaga tu akaniambia sasa inabidi ununue na nyingine ili hii ikiisha niendelee, masikini mwanafunzi mie nikajitutumua nikamwachia na buku iliyobaki na mimi nikabaki mifuko tupu halafu mtu kama huyo aniambie dharau, lazima nimtukane na kumnyang'anya hicho kidogo nilichompa.Kongosho ndugu yangu, ngoja nikupe hii picha:
Wewe una sh elf 3 kwa mfano, anakuja mtu anaomba bia tu, sasa kwa vile una elf tatu ukachomoa buku 2 umpe ili akajinunulie zake huko ukabakiwa na buku moja za kukusaidia hapa na pale kwenye shughuli zako, bado huyo mtu anakwambia, "Yaani umenipa elf 2??? hii dharau!" Ingekuwa ni wewe unaombwa ofa ya bia utafanyaje na mfukoni una elf tatu tu?
Nadhan umenipata mtani wangu!!!
Hiyo ilinikuta mimi nikiwa na elfu mbili tu mfukoni nikakutana na ticha wangu ile kuniona tu kaanza kuchecheka afadhali nimekuona mwanafunzi wangu twende unipe soda, mimi nikajua itakuwa soda kweli ile tumefika ticha kaagiza bia kipindi hicho bia ilikuwa buku, baada ya kulipa nikaona hapa hapanifai nimkamuaga ile kuaga tu akaniambia sasa inabidi ununue na nyingine ili hii ikiisha niendelee, masikini mwanafunzi mie nikajitutumua nikamwachia na buku iliyobaki na mimi nikabaki mifuko tupu halafu mtu kama huyo aniambie dharau, lazima nimtukane na kumnyang'anya hicho kidogo nilichompa.