Hapo tupo pamoja...alichokupa mtu we ridhika nalo tu!
kwa jinsi mimi nilivyo ningemnyang'anya na hiyo 2000/= km ni kuvunja urafiki sijui ubest basi ndo ingekuwa siku hiyo.Sasa huyo hajaomba hata kiasi na wala hajaomba bia ngapi na hajaomba umpe sh ngapi...wewe kwa hisia zako zimekutuma umpe elf mbili, bado hajaridhika na hiyo elf mbili uliyompa na anakwambia dharau!!
Na wewe usije lalamika
Anataka kokrochi tu, alichokupa ndo hicho
Mwanmme kuhudumia
Pata picha:
Mtu anakuomba hela ya bia au soda, unampatia Tsh 2000/=
Alafu huyo huyo uliyempa hela anakwambia "Yaani unanipa elfu mbili?? dharau hiyo!"
Wewe unasemaje hapo?
hapo hajakwambia umpe hela ya kiasi gani!
mpe chupa ya wine.
kwa jinsi mimi nilivyo
ningemnyang'anya na hiyo 2000/= km ni kuvunja urafiki sijui ubest basi
ndo ingekuwa siku hiyo.
Hawezi kulalamika na wakati hajui mi nimeipataje hiyo hela.
Hahahaha! Swali lako tamu sana....jinsia ya kike
Ni dharau kubwa
Utampaje mwanamke buku 2? Hata buku 10 bado dharau.
Yaani kuhonga hela inayoanza kwa kuitwa buku kadwaa ni zereu
hata hii buku 90
Kongosho ndugu yangu, ngoja nikupe hii picha:
Wewe una sh elf 3 kwa mfano, anakuja mtu anaomba bia tu, sasa kwa vile una elf tatu ukachomoa buku 2 umpe ili akajinunulie zake huko ukabakiwa na buku moja za kukusaidia hapa na pale kwenye shughuli zako, bado huyo mtu anakwambia, "Yaani umenipa elf 2??? hii dharau!" Ingekuwa ni wewe unaombwa ofa ya bia utafanyaje na mfukoni una elf tatu tu?
Nadhan umenipata mtani wangu!!!
Ningetamani hii thread Kikwete aione na kuisoma ili ajue maisha yanavyobana huku mtaani hadi bifu na jerous za kijinga zinaibuka.
Tena amgegede kirivasi
Ndio, si inaanza na buku tisini hiyo? au ni laki tisini? Ila kwa mwanafunzi ni nyingi
Ila wamama wa mtaani sijui
Bora useme nitakupa siku nyingine, leo sina
Maisha yamepinda ndugu yangu...bia moja kwa wengine hata kuikaribia ni miujiza kwa jinsi mifuko ilivyo mikavu...
Akurudishie tu
Umeona eeh maisha yamepinda hadi yanaondoa utamu wa penzi bwana kwa mfano mi nikijamiiana na dia wangu akiwa amefulia naona kama utamu umepungua.