Sh. 2000/=

Pata picha:

Mtu anakuomba hela ya bia au soda, unampatia Tsh 2000/=

Alafu huyo huyo uliyempa hela anakwambia "Yaani unanipa elfu mbili?? dharau hiyo!"

Wewe unasemaje hapo?

hapo hajakwambia umpe hela ya kiasi gani!

Kuna utata kweli, bora wewe ulimpa pesa vp kama utamkalisha Grocery ukamaliza hitaji lake si ndipo lugha zingezidi kuwa gongana.
 
Mnunulie bia kabisa.

Bia ngapi? ukimpa mmoja atalalamika, ukimpa mbili atalalamika na uwezo wako umeishia bia moja au mbili kwa papo hapo, yeye atakwambia "yaani unanipa bia mbili??" kama ukimpatia bia mbili. HANA SHUKRANI HUYO!
 
Nitamwambia.., Hapana sijakupa buku mbili naomba chenji yangu elfu moja mia nne (kwani soda zimepanda bei lini..?)

amesahau kwamba Beggars are not Choosers
 
je km hatumii bia,kawaida ukiombwa 2000/= inabidi ujiongeze utoe ht elfu 5 jamani.
Waombaji na nyie muwe wawazi.

Sasa huyo hajaomba hata kiasi na wala hajaomba bia ngapi na hajaomba umpe sh ngapi...wewe kwa hisia zako zimekutuma umpe elf mbili, bado hajaridhika na hiyo elf mbili uliyompa na anakwambia dharau!!
 
Wee j=hujui kusoma, hata picha huoni??

Sasa huyo hajaomba hata kiasi na wala hajaomba bia ngapi na hajaomba umpe sh ngapi...wewe kwa hisia zako zimekutuma umpe elf mbili, bado hajaridhika na hiyo elf mbili uliyompa na anakwambia dharau!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…