SGR ya Tanzania kula Nusu ya Bajeti ya Wizara

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
 
Wafadhili wasipotoa ndo utajua ni pesa za ndani, mkopo au nini!!
 
haki ya nani.....jiwe nimemkubali...tangu pesa za ndani hadi sai anagoja pesa za budget ndio aindeleze...sasa nenda katika bugdet ya tanzania uone asilimia kubwa wanategemea pesa kutoka wapi...bwahahaaa
hawezi kukuelewa! ni mmoja wa vichwa maji hapa jf.
 
haki ya nani.....jiwe nimemkubali...tangu pesa za ndani hadi sai anagoja pesa za budget ndio aindeleze...sasa nenda katika bugdet ya tanzania uone asilimia kubwa wanategemea pesa kutoka wapi...bwahahaaa
Lengo ni kuwatoa ujinga wenu wa kusema kwamba hatuwezi kujenga kwa pesa yetu, eti tumekopa kama ninyi, ni matumaini yangu kwamba sasa hivi huo ujinga umewatoka, ila kama ninyi ni wapumbavu, bado mtaendelea kuamini kwamba tumekopa.

Kuhusu wahisani kusaidia Tanzania, mbona hata Kenya mnapata misaada toka kwa wafadhili lakini bado mumeshindwa kukarabati hata reli ya zamani?.

Nimekuwekea hapo vyanzo vya mapato tunavyotumia kupata pesa, tumepunguza sana kutegemea pesa za wafadhili, ni chini ya 3%,, hiki ni kiasi kidogo kuliko nchi zote za EA.
 
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
Mnatumia picha za sgr Kenya!!!
Journalist mgani huyo fake hivii
 
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
1093391
 
Pesa hakuna huko kwa jirani miradi zinasimamishwa.

Huku kunaitwa kuchanganya madawa....

Barabara inayojengwa ktk picha yako ni ya lane 8 hadi 12 na ina urefu wa km 19 toka Dar hadi Kibaha, status yake ni under construction.

Hio ya Dar hadi Chalinze km 144 ni mradi mwingine separate ambao bado hata haujaanza uko kwenye drawing board na ulitakiwa uwe PPP.
 
Hawajui hao kazi kudandia mada tuuu

Kanyweshwa chai ya chumvi, anaonjesha watu.
 
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
Project moja inakula nusu ya bajeti ya wizara? Kweli nyinyi ni shit-hole kabisa.
 
Kila siku deni la taifa linakua kwa kasi, uo mkopo unatumika wapi..? Think"

Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
 
haki ya nani.....jiwe nimemkubali...tangu pesa za ndani hadi sai anagoja pesa za budget ndio aindeleze...sasa nenda katika bugdet ya tanzania uone asilimia kubwa wanategemea pesa kutoka wapi...bwahahaaa
Asa huo sio mkopo ww
 
Project moja inakula nusu ya bajeti ya wizara? Kweli nyinyi ni shit-hole kabisa.
Ninyi ambao hata sm moja ya Sgr mnashidwa kujenga mkingoja mchina naye amejitoa sasa bakuli nasikia linatua Marekani tumieni bajeti yenu ya ujenzi ndugu
 
Back
Top Bottom