BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,667
- 1,051
Mali ya mkandarasi. Kichwa cha kuvuta mabehewa ya kokoto na kushindilia...
Ndio maana ya kukifanyia majaribio, kama kimeanguka katika majaribio ina maana dhamira imekamilika, chanzo cha kuanguka kitatafutwa, kuboresha reli au kutafuta aina ya kichwa kinachofaa kwa aina hiyo ya reli. Hata hivyo, kichwa hicho mbona sio kipya, kiliwezaje kuletwa kwa ajili ya majaribio ilhali reli ni mpya!!Naomba kujua wadau inasemekana kile kichwa cha treni ambacho kimeletwa nchini kwa majiribio kimepiga chini kama unavyoona kwenye picha hii siyo edet hii? View attachment 1092372
au hii picha siyo Tanzania?
Sijaelewa July 2019 na leo ni May 9 na kichwa kimelala chali????? Naomba maelezo tafadhari.
Ndio.... Reli mpya ya SGR bado haijaanza kutumika ndio kwanza kipande cha Pugu hadi Dar es salaam daraja lake kutoka station kuu halijaisha na pale Vingunguti wametandika sehemu ndogo tu ya SGR ... ni reli ya zamani tu inayotumika kuanzia bandarini hadi Pugu na kuendelea. Hicho kilikuwa kimepakiwa kwenye behewa la wazi ... kwa kuwa upana wa kichwa hicho hauwezi kuenea kwenye mita gauge ya reli yetu ya kati.Kwahiyo kimepita reli ya zamani
Zamani tulikuwa tunasikitika, na kuchukizwa tukiona mali ya umma ikiwa imeharibika, cha ajabu siku hizi watu wanashangilia bila ya kujua kwamba waliongia hasara ni wao. Wana saikolojia hebu tufahamisheni sababu za mabadilko haya ya tabia!!
Yaani hiyo selfie inaweza mpeleka mtu matatani.
Mabadiliko hayo yameletwa na kuchochewa na ccmZamani tulikuwa tunasikitika, na kuchukizwa tukiona mali ya umma ikiwa imeharibika, cha ajabu siku hizi watu wanashangilia bila ya kujua kwamba waliongia hasara ni wao. Wana saikolojia hebu tufahamisheni sababu za mabadilko haya ya tabia!!
si ndo mana kimepindukaMbona hakina matairi?
Ndiyo maana ya majaribio, lengo ni kupata best product so hapo tayari wameshaona tatizo kabla hawajaenda mbali zaidi.
halafu nani kakwambia kuwa hiyo ni ajali iliyotokana na ubora duni wa hiyo reli?
Kama hujui uliza na si kukurupuka .Hicho ni kichwa cha treni kimenunuliwa na YAPI MERKEZ kwa ajili ya kufanyia majaribio wakati wa ujenzi huwa ni vizito sana na imara sana na vipo ndani ya gharama ya ujenzi.Tatizo la watawala wetu kila kitu wanaingiza siasa, hii haraka haraka ya ujenzi inafanywa kuwahi uchaguzi, matokeo yake ndiyo haya.
Unaheeeeema, kama umekoswakoswa ugoni . Mleta mada wala hajasema yote haya, kaweka tu picha tayari mnaweweseka. Maendeleo hayana chamaShida ya Mleta mada ana fikiri hiyo ni treni kumbe ni kiberenge na anafikiri ni cha tanania kumbe ni cha mkandarasi na kazi yake ni kukagua reli na kilianguka wakati kinashushwa site...
Mtoa mada anatamani ingekuwa ndio treni imeanguka
Hicho ni kichwa cha majaribio na ni cha mkandarasi .... na hicho kimeletwa kwa majaribio tuuu na ndio maana kama ukikisoma vizuri kimeandikwa Yarp Maerkezi