SGR: What really happened here?

Yaani hiyo selfie inaweza mpeleka mtu matatani.
Umeongea ukweli kwa tanzania huyo jamaa atapata tabu kwanini kapiga picha eneo la ajali...Ni kweli treni imeanguka ila yeye sio msemaji wa shirika, kwanini apige picha eneo la tukio? Jamaa watalala naye mbele...
 
Mnhh...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu jamaa aliyejiselfie anaweza tekwa apotee kabisa ktk uso wa dunia...

Ukweli mtupu
 
Aliyeleta hizo picha sio mstarabu hata kidogo.
Alishindwa vipi kuficha sura ya Huyo mtoa taarifa.

Kesho ukisikia mtu amekamatwa kwa uchochezi utasikitika wakati umechangia ukamatwaji wake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…