data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 May 8, 2019 #2 Mnhh... 😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyu jamaa aliyejiselfie anaweza tekwa apotee kabisa ktk uso wa dunia...
Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 24,148 Reaction score 56,422 May 8, 2019 #3 Kumbe kweli kimeanguka, kuna mtu jana alisema kimeanguka maeneo ya gongo la mboto watu wakabisha. Basi itakuwa ni laana. SGR, Tuliahidi - Tunatekeleza, hii ndiyo Tanzania mpya. 1. WALITULIAHIDI HIVI 2. LAKINI WANATEKELEZA HIKI 3. MATARAJIO YA WENGI YALIKUWA KUONA HIVI UPDATES: imetokea jana 7/5/2019 Maendeleo hayana chama. www.jamiiforums.com
Kumbe kweli kimeanguka, kuna mtu jana alisema kimeanguka maeneo ya gongo la mboto watu wakabisha. Basi itakuwa ni laana. SGR, Tuliahidi - Tunatekeleza, hii ndiyo Tanzania mpya. 1. WALITULIAHIDI HIVI 2. LAKINI WANATEKELEZA HIKI 3. MATARAJIO YA WENGI YALIKUWA KUONA HIVI UPDATES: imetokea jana 7/5/2019 Maendeleo hayana chama. www.jamiiforums.com
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,963 Reaction score 7,649 May 8, 2019 #4 Tayali tena
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,468 Reaction score 23,294 May 8, 2019 #5 kwani hiyo ndio treni ya umeme tunayotarajia ipite kwenye SGR. Nilijua mzigo utakuwa hivi.
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,320 May 8, 2019 #6 Huyu aliepiga hii picha akichukuliwa hatarudi atuambie mdude anaendeleaje popote alipo....huu ni uhujumu uchumi...
Huyu aliepiga hii picha akichukuliwa hatarudi atuambie mdude anaendeleaje popote alipo....huu ni uhujumu uchumi...
T Trust None JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 1,260 Reaction score 4,421 May 8, 2019 #7 pilato93 said: Tayali tena Click to expand... HAJAWAHI KUFANIKIWA KILA ABAPOGUSA. AJITAFAKARI KAMA ANAFAA POLE KWA WATAKAOTUMBULIWA
pilato93 said: Tayali tena Click to expand... HAJAWAHI KUFANIKIWA KILA ABAPOGUSA. AJITAFAKARI KAMA ANAFAA POLE KWA WATAKAOTUMBULIWA
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,320 May 8, 2019 #8 matunduizi said: kwani hiyo ndio treni ya umeme tunayotarajia ipite kwenye SGR. View attachment 1092120 Nilijua mzigo utakuwa hivi. Click to expand... Huu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!!
matunduizi said: kwani hiyo ndio treni ya umeme tunayotarajia ipite kwenye SGR. View attachment 1092120 Nilijua mzigo utakuwa hivi. Click to expand... Huu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!!
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 May 8, 2019 #9 Si Dalili nzuri
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,468 Reaction score 23,294 May 8, 2019 #10 vvm said: Huu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!! Click to expand... 😁😁😁 mkuu sina nyongeza, naunga mkonyo hoja.
vvm said: Huu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!! Click to expand... 😁😁😁 mkuu sina nyongeza, naunga mkonyo hoja.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 13,307 Reaction score 42,842 May 8, 2019 #11 Mungu asante
Eric Cartman JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 11,960 Reaction score 11,221 May 8, 2019 #12 Majanga
Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 24,148 Reaction score 56,422 May 8, 2019 #13 Tatizo la watawala wetu kila kitu wanaingiza siasa, hii haraka haraka ya ujenzi inafanywa kuwahi uchaguzi, matokeo yake ndiyo haya.
Tatizo la watawala wetu kila kitu wanaingiza siasa, hii haraka haraka ya ujenzi inafanywa kuwahi uchaguzi, matokeo yake ndiyo haya.
M Mangi Mlay JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 5,743 Reaction score 7,089 May 8, 2019 #14 Tuliwacheka Wakenya tukisema inafanana ya ya miaka ile duh sisi tumetisha
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 May 8, 2019 #15 Majanga
M Mangi Mlay JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 5,743 Reaction score 7,089 May 8, 2019 #16 vvm said: Huu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!! Click to expand... Nimekukubali mkuu
vvm said: Huu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!! Click to expand... Nimekukubali mkuu
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,003 May 8, 2019 #17 watasema ni crush test..........
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,725 Reaction score 31,305 May 8, 2019 #18 Eeeehh!
mikedean JF-Expert Member Joined Mar 15, 2018 Posts 3,271 Reaction score 4,654 May 8, 2019 #19 Jamani kama ni kweli basi Mungu atupunguzie adhabu hata wiki haijaisha chali,kama naona Stigler gauge inavyogeuka kama gas ya mtwara
Jamani kama ni kweli basi Mungu atupunguzie adhabu hata wiki haijaisha chali,kama naona Stigler gauge inavyogeuka kama gas ya mtwara
K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,181 Reaction score 17,174 May 8, 2019 #20 BOB OS said: watasema ni crush test.......... Click to expand... Eeenheenh, nyie watu mna akili kweli! Hivi vichekesho vitaua watu, pamoja na kwamba ni jambo la kusikitikia nchi yetu.
BOB OS said: watasema ni crush test.......... Click to expand... Eeenheenh, nyie watu mna akili kweli! Hivi vichekesho vitaua watu, pamoja na kwamba ni jambo la kusikitikia nchi yetu.