Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
Unakuta mtu analalamika kukosa huduma za kimtandao alafu unakuta zembe kama hili linaleta mizahaunatumia TECNO unataka kulipia SGR? lazima igome
huduma gani we boya. mbona hakuna tatizo? nimekata tiketi za watu 12 Dom-Dar jana j3 saa 4 usiku. punguza hasira na ujuajiUnakuta mtu analalamika kukosa huduma za kimtandao alafu unakuta zembe kama hili linaleta mizaha
Kuna kitu unakosea. Jaribu kutumia PC.I will be short
Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next .
This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufuki Kwenye control number .
Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System mbovu .
Hivi kuna kitu kipo sawa Inchi hii
Kuna ujinga mwingine nimeshakutana nao, wa kuingiza e-mail address halafu system inakwambia akaunti hii ina mtu tayari..!!! Huyo mtu ndo mimi mwenyewe, lakini inanikatalia kuendelea hadi uweke e-mail nyingine..!! UJINGA MTUPU.I will be short
Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next .
This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufuki Kwenye control number .
Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System mbovu .
Hivi kuna kitu kipo sawa Inchi hii
116trnNaskia deni la taifa eti limefikia 108 trillions...🙄
uwezi nunua ticket za sgr online mzee, wewe nenda station utapata ticketHaya malalamiko mbona yapo kwa wepesi namna hii, ongeza nyama
hii ya sgr ina affect watu directly.Acha wazipige tu mbona wanaiga mfano wa kiongozi wao huko juu. Wakiiba viongozi sawa ila wengine huku chini nongwa. Aah acheni hizo bana
Tumia PC Acha kutumia TECNO kulipia SGR lazima ijambe.
nimetumia iphone na macbook zote zimegoma, na nimelipa sgr before bila shidaCheck na uwezo wa simu Yako.