SGR INAHUJUMIWA......

Ni mambo mawili tu yanayotumaliza au kutufikisha apa tulipo...ni Umasikini na Ujinga.
Hivyo vitu viwili vikiondoka au kupunguza Kwa kiasi fulani basi tumekomboka....Sasa mbaya zaidi hivi vitu viwili vinategemeana...Sasa unapaswa kuja uanze na kupambana na kipi kwanza umasikini, au ujinga.
Sasa mapambano ya kila factor Kwa mfano ujinga...mifumo ya kuitawala nayo haitaki kutoa unafuu wa ujinga kuisha angali wakijua kuwa ujinga ukipungua mtaji wao hutaisha.
Sasa apo ndipo kikwazo cha mapambano dhidi ya Umasikini uanzia.
Sgr ni mtaji na biashara za mifuko ya watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…