SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,103
Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
 
hua watu wanazinunua alafu wanaziuza kwa faida kwa wenye haraka ivo unatakiwa ukate mapema
 
Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
naomba huo mtandao wa kulipia tiketi
 
Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Ccm mbele kwa mbele
 
Hii nchi imeshindikana sasa!!!
 
Hizo ni fursa tu

Mtu ananua tiketi zote halafu anachuuza dirishani

Dawa yake ilitakiwa ziwe treni kama nane hivi zote zinaondoka kwa kufuatana kingewaka

Biashara hiyo mbona ni kama ya mazao nyie wajanja mnakuja kutuchuuza Bush huko mnaenda kuuza kinondoni supermarket kwa bei hata mara tano zaidi ya mlivyonunua
 
Okay. Ngoja TUTIKI
 
Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Wanakula kwa urefu wa kamba zao
 
same way hata kwenye mabasiya mikoani haswa misimu ya skukuu watu hununua tiketi alafu utazinunua kwa bei kubwa ukiwa na haraka! huezi mlaumu mtu anafanya biashara na hajamzulumu mtu
Umefumbua akili
 
Back
Top Bottom