Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,904
- 156,008
Rev. Hii kitu ukianza kuifanyia mazoezi, halafu ukapata kabinti kametoka kufunga ramadhani, kana hamu za mwezi mzima yaani itakuwa ni balaa.
mnasingizia tu..ukiamua kinaondoka kitambi baada ujauzitowhere else kuna matumbo katika mwili wa binadamu!!!??? kama mkeo baad aya kuzaa watoto usishangae na yeye akawa na kitambi, sasa cjui utaachana nae au utakuwa na wasio na matumbo kwa ajili ya sex tu na huyo mkeo akabaki kuwa ni mlezi wa watoto tu! wengi tulikuwa na viuno vya nyigu lakini baada ya waume kutujaza matumbo leo wanasema eti wenye matumbo wanajamba ovyo...oooh this world is not fair...
Heeeeh kijambo cha heri kwa mwenye mazoezi na huwezi sema unajamba all the time wakati wa game!
am sorry to say this rev... huyo aliekuwa anakujambia all through the game lazima alikuwa akipigwa bomba na nyuma pia thats why alikuwa hana brake za kudhiti hiyo hali, lakini cpati picture kitambi tu kweli ndio kilete dhahma yote hiyo.. nooo mchunguze vema huyo kitambi wako lazima anafumuliwa nyuma!
Mchungaji kama hukunipenda ungenambia tu....nini kunianika hadharani na tumbo langu!!
Aksante lakini ujumbe umefika.............
mnasingizia tu..ukiamua kinaondoka kitambi baada ujauzito
Mkuuu ubadeni kubwa sana nimecheka kama mgonjwa hapa! Lol jamani nyie wengine sijui nikiwaona live itakuwaje....! Hii si mchungaji ni Literature zina sema hayo.
pole mkuu usicheke sana lakini huo ndo ukweli! ila nijuavyo kitambi kinazuia mambo mengi sana kukufanyika kwa ufasaha sio sex tu, huwezi kuwa sharp kwa mambo mengi, kuinama hata kufunga viatu au kutafuta kitu uvunguni ni issue, nguo hazipendezi, kwa ufupi unakuwa restless.. mmh kitambi kweli noma!
Mwanamama....Naweza kukuuliza jinsia yako?
SHE tena kwenye hicho kitambi lakini huwa cjambi hahahaaaaNaweza kukuuliza jinsia yako?
Ina happen once in a while, ukikaa position ya kidogy....sio kila siku ....aaaaah nahisi ni hewa flani tu sio kijamboHeeeeh kijambo cha heri kwa mwenye mazoezi na huwezi sema unajamba all the time wakati wa game!
Bora mwaego maana wengine hatuna breakNareport hii thread ipelekwe huko wakubwa wanapokutanaga!!
Mwanamama....
Naye Bujibuji ana kibuyu cha mbujimayi? Full kujambajamba.Umenifananisha na Buji Buji!
Hahahahahahaaaaahaaha buji cheko langu mie khaaaaaaaa!!!!! mie nakupenda sana unajuaNaye Bujibuji ana kibuyu cha mbujimayi? Full kujambajamba.