ndo nyakati tunazoishi leo, hakuna morality kabisa, hii si habari ngeni kwangu. nishasikia visa viwili vya kweli vya namna hii
kosa lipo kwa gel,kwani mambo yangesanuka, mpotezaji angekuwa ni yeye. ina maana wewe hata kama watuSi sahihi kabisa kufanya huu umalaya,lkn mbona kama imebase kwa huyo msichana tu(bi harusi)?kwani huyo bf hakujua mwenzie anaolewa na kama kweli yeye ni mwema basi baada ya kujua mwenzie kapata mme na yeye alikuwa anatumia tu angekataa kuendelea naye, na huyo bf- mtumiaji malaya tu,msiwalaumu wananwake tu kwani huo ubazazi wananfanya na wanaume.
Si sahihi kabisa kufanya huu umalaya,lkn mbona kama imebase kwa huyo msichana tu(bi harusi)?kwani huyo bf hakujua mwenzie anaolewa na kama kweli yeye ni mwema basi baada ya kujua mwenzie kapata mme na yeye alikuwa anatumia tu angekataa kuendelea naye, na huyo bf- mtumiaji malaya tu,msiwalaumu wananwake tu kwani huo ubazazi wananfanya na wanaume.
na hii kama ni kweli ni zaidi ya unyama.
mnh umesema watu walipotaka kumpamba hawakujua alipo,imekuwaje wewe ukajua? alikuambia? au wewe ndio boyfriend mwenyewe mla vya watu?
Labda alilazimishwa kuolewa na mtu asiyempenda! Hapo hata hawajaagana ndo kwanza wamefungua kurasa nyingine!