Sex Tour

Sex Tour

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Nani anataka hii mwezi wa sita nina mpango wa kufanya Sex toure kwenye mikoa kama mitatu hivi TANGA,SINGIDA na MUSOMA,

mwaka jana nilifanya sex toure ya mkoa mmoja tu mingine sikufanikiwa ila mwaka huu nimejipanga na nitafanya mikoa yote mitatu kila mkoa nitakaa siku 5,

Lengo la tour yangu ni kama nilivyoiita SEX TOUR, ni yenye dhumuni moja tu ya kufanya mapenzi na mademu tofauti wa mikoa husika,

Kama utahitaji kuunga toure nicheki tukiwa washkaji tusiozidi 3 itapendeza zaidi pesa kila kitu utajitegemea mwenyewe ni kukutana tu sehemu na kuanza Toure yetu,



Cc Zero IQ.
 
Mkuu ukifika tanga ni pm maana nipo jirani tu tumalizie toure
 
June naen
Nani anataka hii mwezi wa sita nina mpango wa kufanya Sex toure kwenye mikoa kama mitatu hivi TANGA,SINGIDA na MUSOMA,

mwaka jana nilifanya sex toure ya mkoa mmoja tu mingine sikufanikiwa ila mwaka huu nimejipanga na nitafanya mikoa yote mitatu kila mkoa nitakaa siku 5,

Lengo la tour yangu ni kama nilivyoiita SEX TOUR, ni yenye dhumuni moja tu ya kufanya mapenzi na mademu tofauti wa mikoa husika,

Kama utahitaji kuunga toure nicheki tukiwa washkaji tusiozidi 3 itapendeza zaidi pesa kila kitu utajitegemea mwenyewe ni kukutana tu sehemu na kuanza Toure yetu,



Cc Zero IQ.
June naenda mafinga na makambako potelea mbali bado kigoma na pemba
 
Back
Top Bottom