Sex refers to “the different biological and physiological characteristics of males and females

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Habari za mchana wapendwa

Kutokana na watu wengi kutoa Maoni mengi kuhusu thread ya #gendar nimeona ni vyema Leo niwalete ya sex ambapo ukisoma utakuwa na uwezo wa kutofautisha Kati ya gender na sex

Sex refers to “the different biological and physiological characteristics of males and females, such as reproductive organs, chromosomes, hormones, "

That means sex is biological concept ambapo yanahusisha zaidi maswala ya kibiologia yaani inamtofautisha mtu Kati ya mwanaume na mwanamke kwa biological

Sex ina mtofautisha mwanamke na mwanaume mfano mwanaume Hana maziwa (matiti) lakini mwanamke hanayo mwaziwa na hata iweje mwanaume hawezi kuota maziwa kifuani mwake

Na kwa maana nyingine sex inatoa identity kutambua huyu ni mwanaume au mwanamke na mfano mwingine wa sex ni kuwa mwanamke ana bleed but mwanaume hawezi bleed

Mfano wa identity mfano huwezi kuta mwanaume mjamzito Bali ukikutana na mwanamke mjamzito automatically utajua huyu ni wakike

Nakalibisha maswali na Maoni pale ambapo hujapaelewa welcome
 
Back
Top Bottom