Naomba picha mtaalamu wangu.
ya mtu asiye na jinsia???
Habari za jioni wana JF,
Napenda kutoa pole kwa mihangaiko ya siku nzima kwa wana JF wote.
Najitokeza hapa kwa lengo la kupata Sex partner ama waweza ita friends with benefits.
Sifa kuu asiwe mtu wa kugandana yani kila mtu afanye shughuli zake mpaka pale tutakapo hitajiana.
Pili awe mtu mwenye kazi inayomuingizia kipato ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima.
Tatu awe chini ya miaka therathini.
Mwenye hitaji hilo kama langu tafadhali naomba ani PM for mobile phone contact
Cheers
Jinsia yangu ni mwanaume. Ni PM kwa ajili ya wale wanaotaka picha.
Corner bar kuna wanadada wanaojiuza, mim sitaki wa aina hiyo.
Kama hutaki wajiuzao, mbona wewe wajiuza mkuu kwa kujiweka jukwaani hapa kama bidhaa?
Kama hutaki wajiuzao, mbona wewe wajiuza mkuu kwa kujiweka jukwaani hapa kama bidhaa?
Mwaka huu watu weng wameamua kuuanza vibaya kwa kutoa kipaumbele ktk tamaa za mwili...ngoja niendelee kuomba rehema za Mungu