Sex is .............

Du imeandikwa hata katika Vitabu vitakatifu, ndio sehemu pekee MUNGU alipoonyesha upendo wa kupendana, pendaneni mkaongezeke.
Mm navyofahamu ni kitu cha kwanza kinachomuonyesha binadamu mbele ya wenzake kuwa kakamilika,
Huondoa uchovu
Huondoa chuki, uadui nk
hujenga uhusiano
 
kuvunja ndoa / Mahusiano if one of the patner is UNDERPERFORM. :busu
 
Weekend hii nimekaa na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu mapenzi (sex). kwa kweli kuna mengi sana yalisemwa, yanasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu mukhtadha mzima wa kufanya mapenzi. Leo naomba tujiangalie na tukumbuke historia zetu za kimapenzi halafu tujadili hili suala hapa. Mimi kwa upande wangu baada ya kufikiria kwa kina nimefikia hitimisho kuwa SEX IS OVERRATED.
Je wewe unaonaje?

Angalizo: Kama hujui maana ya "SEX IS OVERRATED", tafadhali usichangie.

Duh! hii imekaa kisomisomi. Kwa senti kayumba tunawaza kwa lugha ya mama alaf tunamalizia lugha ya taifa.
 
WomanOfSubstance aka WoS ametoa maana ya "SEX IS OVERRATED", yeye amesema maana yake ni "NGONO IMEPEWA UZITO USIOSTAHILI". Haya wadau mliouliza maana, tupeni michango yenu basi.........msije leta visingizio tu.
 
haaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii Dena mbavu zangu!!!!! umeniacha hoi na kunikumbusha mbali sana

enzi zile mwalimu akiingia darasani monitor anapiga kofi moja paaaaaa, alafu nyote mnasimama then mnasema " SIASA YA UBAGUZI WA RANGI NI UNYAMA SHIKAMOOOOOOO MWALIMU"

Umenikumbusha mbaali sana wakati ule makaburu wakiwa maadui kabla hawajaitwa wawekezaji!!!!
 
MwanajamiiOne ametoa maana ya "SEX IS OVERRATED", yeye amesema maana yake ni "NGONO IMEPEWA UZITO USIOSTAHILI". Haya wadau mliouliza maana, tupeni michango yenu basi.........msije leta visingizio tu.

Samahani.
Give credit where it is due pls.Check ur source ..sidhani MwanajamiiOne ndio katoa huo fafanuzi.
 
Weekend hii nimekaa na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu mapenzi (sex). kwa kweli kuna mengi sana yalisemwa, yanasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu mukhtadha mzima wa kufanya mapenzi. Leo naomba tujiangalie na tukumbuke historia zetu za kimapenzi halafu tujadili hili suala hapa. Mimi kwa upande wangu baada ya kufikiria kwa kina nimefikia hitimisho kuwa SEX IS OVERRATED.
Je wewe unaonaje?

Angalizo: Kama hujui maana ya "SEX IS OVERRATED", tafadhali usichangie.

ngoja kwanza nitafute kale kadikshenari kangu......
 
MwanajamiiOne ametoa maana ya "SEX IS OVERRATED", yeye amesema maana yake ni "NGONO IMEPEWA UZITO USIOSTAHILI". Haya wadau mliouliza maana, tupeni michango yenu basi.........msije leta visingizio tu.

mi nishasusa. Halafu aliyetoa maana ni womanofsubstance
 
Ni kweli watu wengi wanapozungumzia mapenzi humaanisha ngono. Katika hali halisi mapenzi na ngono ni vitu viwili vinavyoweza kutenganishwa kabisa. Mapenzi huweza kujengeka kwa mtu na mtu, mtu na vitu, mtu na ndugu yake. Ngono kwa upande mwingine hutokea kutokana na tamaa ya mwili na huja hata pale pasipo na mapenzi (ubakaji ni mfano wa ngono pasipo mapenzi). Mtu huwa anaweza kupenda vitu kama michezo, aina ya vyakula, ndugu zake na hata majirani. Mtu akimpenda mwanamke/mwanaume haimaanishi kuwa ni lazima wafanye ngono. Kuna mambo mengi yanayoashiria kuwepo kwa upendo ikiwa ni pamoja na kujaliana/kusaidiana wakati wa raha na taabu na hudumu kwa muda mrefu sana. Ngono ni matokeo ya hisia za muda mfupi ambazo hutoweka pindi mtu anapokuwa amefikia kilele cha hisia zake.
 
MwanajamiiOne ametoa maana ya "SEX IS OVERRATED", yeye amesema maana yake ni "NGONO IMEPEWA UZITO USIOSTAHILI". Haya wadau mliouliza maana, tupeni michango yenu basi.........msije leta visingizio tu.

Haya kiulikoni hapo kwenye bold
 
Sex is good for ur health, sex is bad when overated ukijumlisha then ukatafuta uwiano inakuwa sawa. kwa hiyo tuwe vuguvugu linapokuja hili swala? au tupagawe nalo jibu analo kila mtu na jinsi anavyoishi maisha yake.nimejaribu ingawa mwanzo sikuelewa aisee
 
Weekend hii nimekaa na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu mapenzi (sex). kwa kweli kuna mengi sana yalisemwa, yanasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu mukhtadha mzima wa kufanya mapenzi. Leo naomba tujiangalie na tukumbuke historia zetu za kimapenzi halafu tujadili hili suala hapa. Mimi kwa upande wangu baada ya kufikiria kwa kina nimefikia hitimisho kuwa SEX IS OVERRATED.
Je wewe unaonaje?

Angalizo: Kama hujui maana ya "SEX IS OVERRATED", tafadhali usichangie.

Mh ushaanzisha matabaka. Saint kayumba apa tunaona rangi 7
 
Back
Top Bottom