kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
bora mtunyime tu na sisi tuache kuwahudumia...... Maana bajeti hazipangiki.... Wewe cute one utakuwa unatokea kikosi cha mizinga....
piga xana mamboz hawa watoto wa kike wana dharau do as you can na ndio dawa yaoooooo!
Acha jazba mkuu. Dhambi ni kwa wote, ila unadhani kama wanawake wakibana hao wanaume watawatoa wapi wa kwenda kuwagegeda??!!
Unafikiri ni kwa nini zamani watoto wa kike ndio waliokuwa wanalindwa zaidi? Jibu ni rahisi ukimlinda msichana, mvulana imekula kwake. Halafu kingine ni kuwa wasichana ndio wanawashawishi wanaume kwa kiasi kikubwa. Humu JF kuna nyuzi kibao zimejadili udhaifu wa mwanaume kwa mwanamke. Kwa hiyo utaona kuwa kama wanawake wakibana, wanaume itabidi waoe tu, maana kutakuwa hakuna namna.
Leo hii watu hawaoni haja ya kuoa kiviiile kwa kuwa wakitaka ngono, inapatikana kirahisi sana.
Tafakari, chukua hatua.
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages
Sjakuelewa nieleweshe mtoto atakurithi vip?????? Afu mwanaume kukuacha si shida!!! Kama hukuwa na performance lazima akuache ..na hata ukiolewa mumeo akiona performance hamna mpango wa kando utakukumba ...cha muhimu ni kumpata mke mwema
Zinaa dhambi,japo sijaoa ila mwanamke ntakaemuoa ntamlala usiku wa siku ya kwanza ya ndoa yangu
piga xana mamboz hawa watoto wa kike wana dharau do as you can na ndio dawa yaoooooo!
Wewe mpotoshajimh! Hata maandiko yameandika AKUOMBAE UMPE,uchoyo umeanza lini? Halafu SHAKE WELL BEFORE USE umesahau hii kitu?
mh! Hata maandiko yameandika AKUOMBAE UMPE,uchoyo umeanza lini? Halafu SHAKE WELL BEFORE USE umesahau hii kitu?
yan kujaribu lazima kama hailiki liwe zigo langu na ndoa za kikristu zilivyo mbaya mke mmoja na mme mmoja kwa aisha ya wawili sasa mpaka afe mmoja lini na kama bovu nivumilie tu yan bora kujaribu mapema
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages
kisa cha kukuta bamia na nyanya chungu???????????? me lazima nitest nione yalimo yamo................
uwiiiiiii ndo nyie mkiingia kwenye ndoa eti bwana hakufikishi,,,,,,,, sisikii utamu!!!!!!!!!
ndo maana sapu zipo eeeeenh!!!!! ukifeli mtihani shurti urudie.
Babe wangu uko wapi tuka tukafanye yetu sie tutangaze ndoa!!!!!!!!!!!!!!!
1-Nilipobold ndo penye ukweli tuu.wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages