jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,806
Baby, mbona umetapatapa na hii uzi?
Da Kongosho, Sista, Heaven on Earth, mimi49, Vene, christine ibrahim
Wapwa watu8, MANI, TCleverly Mkoroshokigoli Kaizer na blaza mtata Asprin
Mje mjione huku nyota zinawaweka wazi
Hahahahahah thats my boy.....
Hahahahahah thats my boy.....
Umekuwa wa kwanza kuniwish haya makitu hapa JF. Niambie unamtaka nani miongoni mwa makoloni yangu nikuachie kwa weekend hii ujimwayemwaye na vitu vya kaka....😛oa😛oa😛oa
mwallu mpwa wangu hayuko available for now....in fact keshi.kuna mahari tunapokea from a potential sweetor....Msukuma tena
hahaha kijana wangu usikate tamaa maana kukata tamaa sio kiume ila hali halisi ndio hivyo.. mwallu "ndo baas tena"... (hivi yule Valentina aliishiaga wapi)
unacheza faulu shem....sasa ya nn kuwataja wa zaman mbele ya mwallu lakini!!!! ushahongwa na masuitor wengine nn!???
Mie nilikuwa naikwepa hii.