Sex According to Your Astrology Sign

Sex According to Your Astrology Sign

Kananke ubhate umura umweito...

Ila nimegundua sio tatizo lako... Tatizo ni muda uliyopost... Hapo aliyepost sio wewe bali ni aliyekuwa ndani yako kwa wakati huo...

Aghachinsiko????

Ni maiya umwisiki weitu. Pole tena kwa msiba.

Nimepost muda muafaka. Unajua vitimbi vya Karucee wakati mwingine vinanifikisha mbaali!! Basi tu sina 'jeuri'
 
Last edited by a moderator:
yangu iko 90% correct....unajua hii thread imekuja wakati muafaka kule CHIT-CHAT kuna birth date za wana MMU KARIBU WOTE kwa hio unaenda kule unaangalia date ya mtu unakuja huku kumsoma nyota yake.....

Jamaa waliofanya hii kazi walitulia
 
eti sagittarians tukoje?!.naomba mnitafsirie
wakuu. kizungu hakipandi mimi.
 
Ni maiya umwisiki weitu. Pole tena kwa msiba.

Nimepost muda muafaka. Unajua vitimbi vya Karucee wakati mwingine vinanifikisha mbaali!! Basi tu sina 'jeuri'

Asavali ili nipumue mieeee
 
Last edited by a moderator:
Kananke ubhate umura umweito...

Ila nimegundua sio tatizo lako... Tatizo ni muda uliyopost... Hapo aliyepost sio wewe bali ni aliyekuwa ndani yako kwa wakati huo...

Aghachinsiko????

Kilugha gani hichi?...
 
​Mmmh yani mi ndo nipo hivo...mbona si kweli...hata siamini!!
 
Back
Top Bottom